Godbless Lema kumrithi John Mrema

Mkuu umetumia vigezo gani kufikia maoni haya.
Lema Waligombana na Mbowe pesa za Join the chain

Lema ana hasira hadi leo kuwa yeye ndie alikuwa architect wa ule mradi na kukusanya zile pesa na kuzitafuta Mbowe alipotoka jela akanpora mradi

Sasa chini ya Lisu anawinda hiyo nafasi ya fedha ashike fuko la pesa
 
JApokuwa halazimikj kusema au kuwajibu. Kwa sasa ana kazi moja tu kutuliza hali ya hewa kwenye chama
Hali ya hewa chafu atengeneze yeye halafu aje tena kujifanya anatuliza hali ya hewa baada ya kufanya siasa chafu mno hakafu kujitia ooh natafuta kutuliza hali ya hewa

Lisu mnafiki mkubwa mpenda siasa za kuchafuana na ulagjhai

Hakuna mwanasiasa pale

Timu Mbowe msimpe ushirikiano kabisa
Tongu Chadema ianzishwe haijawahi kuwa na siasa chafu za kuchafuana na ulaghai chaguzi za ndani kama ilivyotokea sasa siasa chafu zikiongozwa na Lisu
 
Ametengeza yehe au team iliyopita? tuhuma za rushwa, ubadhilifu wa fedha zimeanzia wapi? Na hayo ni machache tu.
Waliodbubutu ku rise flag kuhusu hayo walipigwa chini au kuvuliwa uwana chama kabisa. Hali ya hewa ilisha tengenezwa muda mrefu na watu wengine, so hamna facts kwenye comment yako
 
Lisu mwanasheria kwa nini hakupeleka Takukuru au mahakamani kama anao ushahidi wa Mbowe au timu Mbowe kula rushwa? Kwa nini hakupeleka ?
Kama lengo lake halikuwa tu kuendesha siasa chafu ndani ya Chadema ili tu ashinde bila kujali anavyoumixa wengine bils ushahidi hakikika wa kupeleka takukuru au mahakama
 
Lisu amefanya siasa chafu kuwachafua viongizi wenzie ile awe madaraka ikumbuwke kuwa gia ya chadema kupata umaaharufu ni kuwazushia watu tuhuma za uongo ndio umaaharufu wake ukaeneaa hata sas lisu ametumia gia hyo hyo kuingia kweny kit kwa kumchafua mwenyeki wake
 
Chadema inakoelekea,Kuna siku watamuomba mbowe agombee au wampe Tena Uwenyekiti wa chama hicho Bure bila kupiga kura
Tena watamuomba arudi kwa kulia machozi
Lisu kufikia December tu mwaka huu Chadema watakuwa wamemchoka hadi basi .Ni dictator hatari na haambiliki atakalo yeye ndio lazima liwe

Si muumini kabisa wa collective responsibility wala maamuzi ya vikao

Viongozi mtakaokuwa chini yake iwe makao makuu,mikoani au wilayani mtamkoma
 
chama kuongozwa na msomi, mwenye exposure, ambaye pia ni mwanasheria, mtaona utofauti wake na vile kilikuwa kinaendeshwa na mla mabinti wa bawacha, aliyekimbia shule, DJ na anayetokwa mate kila akiona fursa ya pesa.

kuwa na adabu wewe kijana wa lisu, tunasubiri mufanye maandmano tukuoneni barabarani
 
Usiwaamshe waliolala waache waendelee hivyo hivyo ,sisi tutaendelea kuwapa michango ya ONLINE watakapohitaji na huku tukiendelea kuwapa SPANA SISIEMU.
Kweli kabisa tabasamu la Mbowe ukumbini kwa sisi watuvwa code tulijua mbowe pale ni kama alisema "haya sasa tuone.."

.kuendesha chama kwa kuwaomba walalahoi wa taifa hili watakuchoka tu.

Tundu lisu hana influence kwa matajiri wala wafanyabiashara wa nchi hii.

Kuendesha chama au taasisi yoyote inakuhitaji uwe na fedha.
 
ukikua, utajua mtaji wa mtu sio pesa, ni akili na maarifa. funguka.
 
Lissu anamtegemea Lema awe ndiyo chief organiser wa chama, mambo yote ya hela zipatikanaje na wapi pia ndiye mshauri wake mkuu.

Ukatibu Mkuu Mnyika hawezi kuwakubalia, naona na yeye ataomba kupumzika - may be tutamuona kwenye Ubunge.
Unaendeleaje Masta Sheikh Yahaya?
 
Ni ngumu Lema kushinda ofisini sio style yake. Msemaji anatakiwa kuwa msaidizi wa katibu mkuu na ingekuwa vizuri Lissu amwachie Mnyika atafute mtu wake yeye
 
Naunga mkono Nabii Godbless Lema apewe hiyo nafasi, Mrema ni baridi kidogo Lema ni hatari 🔥
 
Wewe bichwa nazi na wajumbe 500+ ni nani wanaomjua lisu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…