Godbless Lema kutoka X: Note: Alishasema hakulelewa kupingana na serikali

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
20260414_151437.jpg

Godbless Lema kutoka X:
Baba Askofu, Bwana Yesu asifiwe.

Nimekuwa nikiona mijadala mingi katika mitandao ya kijamii kuhusu madai ya kuhusishwa kwa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania na mikakati ya kisiasa kuelekea uchaguzi wa mwaka 2030. Ingawa si rahisi kuthibitisha kwa uhakika, kelele hizi zinaibua wasiwasi unaostahili kutafakariwa kwa kina.

Ni imani yangu kwamba kiongozi bora hatokani na dhehebu au dini, bali na sifa za msingi kama utu, haki na uadilifu. Taifa linahitaji uongozi unaojengwa juu ya kweli, si juu ya utambulisho wa DHEHEBU.

Kwa unyenyekevu mkubwa, naomba Kanisa liendelee kusimama katika nafasi yake ya kiroho na kimaadili, na lisikubali kuingizwa katika mkakati wa Kisiasa. Kanisa linapaswa kuwa mwanga wa jamii.

Ninafahamu pia kuna mengi yanayoendelea nchini ambayo yanahitaji hekima na uangalifu mkubwa. Siandiki bila kufuatilia mambo. Pengine siku moja nitaweza kukuona na kushauri mawazo na mitazamo yangu kwa kina zaidi ktk jambo hili.

Mungu aendelee kulilinda na kuliongoza Kanisa lake.

Take note: Alishasema hakulelewa kupingana na serikali. Nawe unakuwa mwépesi wa kusahau. Achana na KKKT. Hawa wana familia ie mke na watoto.and other dependsnts to attend, atawalisha nini asipojikomba
 
Waluther baada ya kuzalisha matatizo ya kuzalisha walokole sasa wamebaki kuwa wakuwadi wa mfumo.
 
nonsnse
 
Back
Top Bottom