Godbless Lema: Kwenye vyama vya upinzani kuna watu wabaya kuliko kina Makonda na Chalamila. Hawana tu madaraka!

Anakaribia kusema aliempiga risasi Lissu ni nani
 
Reactions: Tui
Mbona kipindi yuko na mbowe hukuwahi kusema ni mwizi wa magari
 
..Boni Yai ni mtu poa sana, imetokea bahati mbaya amemuunga mkono Mbowe. Boni ni mwanaharakati, na pia ngumi anaziweza.
Boni yai ngumi anawezea wapi? Alikamatwa na mtu mmoja tu akachezea kichapo akapandishwa kwenye difenda na boksa
 
Chadema nilisema Haina viongozi Malini bali masela wahuni nikatukanwaaa...
Sasa Lema hapa anaakili gani huyu?kwamba ndiyo alikuwa waziri wamambo yandani kivuli?
 
Reactions: Tui
Mbowe ni mwizi kama wezi wengine hataki kutoka madarakani mapema kwani ufisadi wake utabainika na kupelekwa jela
 
Mbowe ataiba kura atakuwa mwenyekiti haramu lakini atambue kuwa chadema inaenda kuwa kama NCCR TLP na CUF ya Lipumba
 
Reactions: Tui
Mbona kipindi yuko na mbowe hukuwahi kusema ni mwizi wa magari
Mbowe ni mwizi wa pesa za chadema kwa miaka 21 na pia mbowe ni bingwa wa Rushwa ya ngono kwa wabunge viti maalum hakuna mtu mwenye Dhambi kumzidi mbowe ndani ya chadema
 
Mbowe mwizi mzee wa masimango
Wenye Dalali na ombaomba
Sasa chadema inaenda kuongozwa na wahuni wawili wa hovyo sana, chama kitakuwa na migogoro isiyokwisha na pengine wenje na mbowe kugombana na uchaguzi kufanyika tena
 
Boni yai ngumi anawezea wapi? Alikamatwa na mtu mmoja tu akachezea kichapo akapandishwa kwenye difenda na boksa

..kumkamata Boni Polisi walituma plantuni nzima, defender 8.

..madiwani wa Ccm wamepokea sana makofi na kabari toka kwa Boni wakati wa vikao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…