Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kipindi yuko na mbowe hukuwahi kusema ni mwizi wa magariLema mwenyewe ni mbaya amezulumu vifaa mpaka na nguo kwenye maduka ya watu huko arusha.
Lema ni mwizi wa magari mstaafu yeye na akina chonjo na wajomba zake akina kileo wa kaloleni ambao mmojawapo aliuawa kwenye tukio la kuiba gari.
Lema hana usafi wowote ameona kwa mbowe hamna maslahi yake binafsi amegeuza ni ugomvi sasa
Boni yai ngumi anawezea wapi? Alikamatwa na mtu mmoja tu akachezea kichapo akapandishwa kwenye difenda na boksa..Boni Yai ni mtu poa sana, imetokea bahati mbaya amemuunga mkono Mbowe. Boni ni mwanaharakati, na pia ngumi anaziweza.
Wakuu,
Godbless Lema anatema cheche muda huu kuhusu mchakato unaoendelea kwa sasa wa uchaguzi.
Lema anasema kuwa hata upinzani kuna kina Makonda na kina Chalamila sema tu bado hawajapata madaraka.
Mambo yanazdi kuchemka
View attachment 3204339
Mbowe ni mwizi wa pesa za chadema kwa miaka 21 na pia mbowe ni bingwa wa Rushwa ya ngono kwa wabunge viti maalum hakuna mtu mwenye Dhambi kumzidi mbowe ndani ya chademaMbona kipindi yuko na mbowe hukuwahi kusema ni mwizi wa magari
Vipi alikuua au niwale mashoga aliowashughulikia alipokuwa RC wa Dar?Huyo muuaji ana nyota ya shetani. Nyota ya kuteka na kuua watu!!
Boni yai ngumi anawezea wapi? Alikamatwa na mtu mmoja tu akachezea kichapo akapandishwa kwenye difenda na boksa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aisee naona kuna kitu kwako hakiko sawa.
Ukweli mtupu .Wakuu,
Godbless Lema anatema cheche muda huu kuhusu mchakato unaoendelea kwa sasa wa uchaguzi.
Lema anasema kuwa hata upinzani kuna kina Makonda na kina Chalamila sema tu bado hawajapata madaraka.
Mambo yanazdi kuchemka
View attachment 3204339