Godbless Lema live Power Breakfast tarehe 23/01/2025

Godbless Lema live Power Breakfast tarehe 23/01/2025

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Godbless Lema anatarajiwa kuwa live kesho Clouds FM katika kipindi cha Power Breakfast.

1000021120.jpg

Mara ya mwisho mahojiano yake katika kipindi hicho yalishindikana kufanyika.

Clouds wanapenda kiki sana, tatizo watangazaji wenyewe vilaza wala hawaulizi maswali ya maana.

Kipindi chenyewe matangazo kibao, kinaboa sana.
Na hizo kiki zinaishia kuwatokea puani, Lissu alimalizana na Kijakazi ngoja tuone na huku nani atatikiswa
 
Hayupo naona wapo wale matahira na demu wao hata sjui hawa vilaza huwa wanaongea nn mwngne kaambiwa a google medium age of asia akachemka yaani hawa watu ni wa wapuuzi namba moja najua hapa yatakuwa yanatafuta vimaneno neno vya kuikosoa chadema
 
Clouds wanapenda kiki sana, tatizo watangazaji wenyewe vilaza wala hawaulizi maswali ya maana.

Kipindi chenyewe matangazo kibao, kinaboa sana.
PB na kile kipindi kinachoendeshwa na madunduka Kitenge, Zembwela na Hando wa Wasafi FM ni mojawapo ya vipindi vya ovyo sana hapa nchini.
 
Back
Top Bottom