Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Lema ameyasema haya baada ya uchaguzi wa kiongozi wa chama mkoa wa Arusha, mnyukano wa CHADEMA jana unazidi kuweka fukuto. Mambo yanazidi kuwa moto.
====
Lema asema bora watu 10 wenye nidhamu kuliko 1000 wasiyokuwa na nidhamu. Akagusia CUF, NCCR, TLD, UDP vilikuwa na nguvu lakini leo vyama hivi vimekufa.
Kupata taarifa za kimkoa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ingia hapa:
www.jamiiforums.com
Amesema chama kimepita kwenye misukosuko mingi lakini kiliweza kusimama imara, lakini bila nidhamu vyote vitaenda na maji.
Soma Pia: Arusha: Vurugu zaibuka, wafuasi CHADEMA wataka kunyukana

LGE2024 - Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wakuu, Ili kuzifikia nyuzi hizi kirahisi, hapa utapata orodha yote ya mikoa inayoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, ambamo ndani yake utapata links za matukio yote yanayojiri katika mikoa husika, mpaka kufikia kwenye matokeo ya uchaguzi huo. ==== Mwaka huu 2024 Tanzania Bara...