Pre GE2025 Godbless Lema: Mkishindwa kuwa na nidhamu hiki chama kitapotea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Lema ameyasema haya baada ya uchaguzi wa kiongozi wa chama mkoa wa Arusha, mnyukano wa CHADEMA jana unazidi kuweka fukuto. Mambo yanazidi kuwa moto.

====

Lema asema bora watu 10 wenye nidhamu kuliko 1000 wasiyokuwa na nidhamu. Akagusia CUF, NCCR, TLD, UDP vilikuwa na nguvu lakini leo vyama hivi vimekufa.

Kupata taarifa za kimkoa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ingia hapa:

Amesema chama kimepita kwenye misukosuko mingi lakini kiliweza kusimama imara, lakini bila nidhamu vyote vitaenda na maji.

Soma Pia: Arusha: Vurugu zaibuka, wafuasi CHADEMA wataka kunyukana

Your browser is not able to display this video.
 
Naona wote wanazunguka tu mbuyu, kwanini wasimuite kwenye kikao cha ndani kisha wamkanye??
 
WFuasi wake watamuita nabii kwa kusema an obvious thing
 
Anatete
Anatetea ulaji mzee
 
Naona wote wanazunguka tu mbuyu, kwanini wasimuite kwenye kikao cha ndani kisha wamkanye??
Lissu ni mkubwa mno kwenye hiki chama ,kumbuka anatumiwa na hili genge la mzee Mbowe kuzima ukabila aliopandikiza kwenye hii SACCOS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…