BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Nimepenyezewa taarifa jana usiku na mdau wangu kwamba Lema ndio anaye shinikiza na pia hadi kuratibu ba kutoa orodha ya wanachama wa kufukuzwa ndani ya Chadema hasa wale ambao alikuwa haelewani nao moja kwa moja yeye mwenyewe.
Lema ametoa msimamo kwa mwenyekiti mpya kwamba kama wanataka wafanye kazi kw uhuru basi kuna idadi kubwa sana ya watu wa kufukuzwa uanachama ndani ya Chadema.
Concern yake ni kwamba hao wanachama watakuwa against wao kwa mambo mengi hivyo watimuliwe moja kwa moja.
Hii ya John Mrema kuanza kulalamika ni ya kweli na pia yumo Kigaila, Salum Mwalimu,Viongozi wa baadhi ya kanda hasa kanda ya Kaskazini, vile vile anapendekeza Msigwa arudishwe kwa namna yoyote ile na Sugu afukuzwe ndani ya Chama na Msigwa apewe uongozi wa Nyasa.
Kwenye orodha ya watu wa kufujuzwa yumo pia Bon Yai wa kanda ya Pwani, yumo Yeriko Nyerere yumo Wenje.
Kwa mfano process za kuanza kumfukuza Wenje zimeisha anza na mwezi wa 2 hautaisha jamaa atakuwa ameisha vuliwa uanachama.
Mipango yote anaifanya Godbless Lema Mjumbe wa kamati kuu.