Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Toa hakikisho kwamba Wenje hatotumika na swahiba wake Abdul kupenyeza tena rushwa ili kuibomoa cdm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upande up ambao haukutoa kashfa kwa upande mwingine? Chadema imekata roho rasmi tarehe 23 mark my word.Sio Lema, hata ingekuwa mimi, watesi wako ndani ya Chama unawala vichwa moja kwa moja, sbb walitoa kashfa sana wakati wa kampeni, hivyo sio suala la Lema, binadamu yeyote angefanya hivyo.
Mi niko upande wa lema,Sugu afukuzwe mara moja na Hao wapuuzi wengne.Nimepenyezewa taarifa jana usiku na mdau wangu kwamba Lema ndio anaye shinikiza na pia hadi kuratibu ba kutoa orodha ya wanachama wa kufukuzwa ndani ya Chadema hasa wale ambao alikuwa haelewani nao moja kwa moja yeye mwenyewe.
Lema ametoa msimamo kwa mwenyekiti mpya kwamba kama wanataka wafanye kazi kw uhuru basi kuna idadi kubwa sana ya watu wa kufukuzwa uanachama ndani ya Chadema.
Concern yake ni kwamba hao wanachama watakuwa against wao kwa mambo mengi hivyo watimuliwe moja kwa moja.
Hii ya John Mrema kuanza kulalamika ni ya kweli na pia yumo Kigaila, Salum Mwalimu,Viongozi wa baadhi ya kanda hasa kanda ya Kaskazini, vile vile anapendekeza Msigwa arudishwe kwa namna yoyote ile na Sugu afukuzwe ndani ya Chama na Msigwa apewe uongozi wa Nyasa.
Kwenye orodha ya watu wa kufujuzwa yumo pia Bon Yai wa kanda ya Pwani, yumo Yeriko Nyerere yumo Wenje.
Kwa mfano process za kuanza kumfukuza Wenje zimeisha anza na mwezi wa 2 hautaisha jamaa atakuwa ameisha vuliwa uanachama.
Mipango yote anaifanya Godbless Lema Mjumbe wa kamati kuu.
Kamdomo, kamdomo punguza,ipo kamati ya mardhiano hope inakuja, swala sio kuwafukuza bali wapewe onyo kali na wajue ipo mamlaka mpya ndani ya chama ,Nimepenyezewa taarifa jana usiku na mdau wangu kwamba Lema ndio anaye shinikiza na pia hadi kuratibu ba kutoa orodha ya wanachama wa kufukuzwa ndani ya Chadema hasa wale ambao alikuwa haelewani nao moja kwa moja yeye mwenyewe.
Lema ametoa msimamo kwa mwenyekiti mpya kwamba kama wanataka wafanye kazi kw uhuru basi kuna idadi kubwa sana ya watu wa kufukuzwa uanachama ndani ya Chadema.
Concern yake ni kwamba hao wanachama watakuwa against wao kwa mambo mengi hivyo watimuliwe moja kwa moja.
Hii ya John Mrema kuanza kulalamika ni ya kweli na pia yumo Kigaila, Salum Mwalimu,Viongozi wa baadhi ya kanda hasa kanda ya Kaskazini, vile vile anapendekeza Msigwa arudishwe kwa namna yoyote ile na Sugu afukuzwe ndani ya Chama na Msigwa apewe uongozi wa Nyasa.
Kwenye orodha ya watu wa kufujuzwa yumo pia Bon Yai wa kanda ya Pwani, yumo Yeriko Nyerere yumo Wenje.
Kwa mfano process za kuanza kumfukuza Wenje zimeisha anza na mwezi wa 2 hautaisha jamaa atakuwa ameisha vuliwa uanachama.
Mipango yote anaifanya Godbless Lema Mjumbe wa kamati kuu.
Si ni usuluhishi,ninyi hamjui maana ya reconcilliation?
Huu ni uwongo 100%Nimepenyezewa taarifa jana usiku na mdau wangu kwamba Lema ndio anaye shinikiza na pia hadi kuratibu ba kutoa orodha ya wanachama wa kufukuzwa ndani ya Chadema hasa wale ambao alikuwa haelewani nao moja kwa moja yeye mwenyewe.
Lema ametoa msimamo kwa mwenyekiti mpya kwamba kama wanataka wafanye kazi kw uhuru basi kuna idadi kubwa sana ya watu wa kufukuzwa uanachama ndani ya Chadema.
Concern yake ni kwamba hao wanachama watakuwa against wao kwa mambo mengi hivyo watimuliwe moja kwa moja.
Hii ya John Mrema kuanza kulalamika ni ya kweli na pia yumo Kigaila, Salum Mwalimu,Viongozi wa baadhi ya kanda hasa kanda ya Kaskazini, vile vile anapendekeza Msigwa arudishwe kwa namna yoyote ile na Sugu afukuzwe ndani ya Chama na Msigwa apewe uongozi wa Nyasa.
Kwenye orodha ya watu wa kufujuzwa yumo pia Bon Yai wa kanda ya Pwani, yumo Yeriko Nyerere yumo Wenje.
Kwa mfano process za kuanza kumfukuza Wenje zimeisha anza na mwezi wa 2 hautaisha jamaa atakuwa ameisha vuliwa uanachama.
Mipango yote anaifanya Godbless Lema Mjumbe wa kamati kuu.
Kwa sasa siungi mkono siasa za kufukuzana, wakae wajenge maridhiano wasonge mbele, baada ya hapo atakayekengeuka ashughulikiweToa hakikisho kwamba Wenje hatotumika na swahiba wake Abdul kupenyeza tena rushwa ili kuibomoa cdm.
Upo sahihiKwa sasa siungi mkono siasa za kufukuzana, wakae wajenge maridhiano wasonge mbele, baada ya hapo atakayekengeuka ashughulikiwe