Godbless Lema ndio anayeratibu watu wa kufukuzwa CHADEMA

Toa hakikisho kwamba Wenje hatotumika na swahiba wake Abdul kupenyeza tena rushwa ili kuibomoa cdm.
 
Sio Lema, hata ingekuwa mimi, watesi wako ndani ya Chama unawala vichwa moja kwa moja, sbb walitoa kashfa sana wakati wa kampeni, hivyo sio suala la Lema, binadamu yeyote angefanya hivyo.
Upande up ambao haukutoa kashfa kwa upande mwingine? Chadema imekata roho rasmi tarehe 23 mark my word.
 
Mi niko upande wa lema,Sugu afukuzwe mara moja na Hao wapuuzi wengne.
 
Kamdomo, kamdomo punguza,ipo kamati ya mardhiano hope inakuja, swala sio kuwafukuza bali wapewe onyo kali na wajue ipo mamlaka mpya ndani ya chama ,

Pili , lazima kuwepo na mikakati ya pembeni nje ya kamati kuu pia maana humo kamati kuu kuna vimbwengo, sina shida na mh FAM , ila vimbwengo wengine kama hao boni yai , ila najua kwa sasa viongozi wanajua ,hacha nami nifunge kamdomo
 
Msigwa anaweza kurudi nami nakubali ila sio kuwa kiongozi tena wa Nyasa , why
Shida inaanzia pale kwenda ccm hata kama alikosewa , vyama vipo vingi tz hii ,ila chama makini ukiacha chadema ni CHAUMA
 
Wale wote wenye wake zao COVID 19, WOOTE WAFUKUZWE.

Kama kuna mwanachama itabainika ni team maslahi na hana faida na chama, anakiharibu chama AFUKUZWE MARA MOJA, misingi isimamiwe.

CDM haipaswi kuwa kama CCM, tabia za hovyo zoote hazipaswi kuwepo ndani ya CDM ili wananchi waone sura ya chama mbadala.
 
Huu ni uwongo 100%
 
Sugu huyu huyu ambae amekuwa akisifiwa na kuimbwa humu kwamba kila siku anakutana ja mabalozi wa Ulaya na Marekanikani? Tuliambiwa atalichukua jimbo la Tulia sasa ndie afukuzwe? Haya ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…