Godbless Lema ni mzushi

Sijaiona, nipe link ili hii niifute maana hakuna sababu ya kuwepo thread mbili zenye maudhi yanayofanana
 
Imeletwa Jana na Erythrocyte
Angalau wewe umenieleza kitu. Nimeweza kufuatlia thread zake na nimeipata. Nawashangaa wanaouliza elimu yangu, umri wangu nk badala ya kunipa link niliyoomba. Yawezekana wanashindwa kuniwekea hiyo link. Any way, nimeipata nawawekea hapa:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…