GODBLESS LEMA: Nimeondoka Tanzania ili niwe na amani ya moyo mimi na Familia yangu. Sitashiriki Uchaguzi wa leo wa kanda

Lema ameandika kwa uchungu na umakini sana. Ni andiko bora sana, amekumbusha "No Reforms, No Election"
 
Godbless Lema anaona mbali sana
 
Nimeelewa neno moja tu NO REFORM NO ELECTION kisha nimeelewa maudhui yoote ya waraka huu.

Twende na TAL🤣🤣🤣
 
Hatari sana
 
kamkumbuka tu mke wake na watoto anaosubiria wamalize shule kwa msaada wa ada za asylum ndipo warudi bongo. si angesema tu ukweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…