DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
- #121
kwenye Bandiko langu sikueleza Ulichokisema wewe!Una matatizo ya uelewa finyu na kutoweza kujenga hoja.
Msingi wa swali langu ni bandiko lako la awali,wewe unaleta mambo mengine kuhalalisha kitu ambacho hakipo kwenye bandiko lako la kwanza.
Umejiona ulivyo kilaza!!??
Nimemaliza,sitakujibu tena.
Labda nikuulize wewe Ulikitoa wapi?
Nilichokieleza Ni Nukuu ya Lema Iliyojengwa kwenye Mambo mengi yaliyotokea Chamani