GODBLESS LEMA: Nimeondoka Tanzania ili niwe na amani ya moyo mimi na Familia yangu. Sitashiriki Uchaguzi wa leo wa kanda

Kila mtu anahitaji kipato, licha ya baadhi kujitolea katika siasa lakini lengo vilevile apate riziki yake kupitia siasa.

Huko nyuma siasa ilimuwezesha Lema kuendesha maisha ilimpa hadi ubunge akaweza kupata mshahara mnono, kiinua mgongo na kukopa manilioni benki( sina hakika kama amemaliza kulipa). Siasa hiyo hiyo imemuwezesha kupata hadhi ya ukimbizi yeye na mkewe na watoto ambapo wanalipwa pesa nzuri na watoto wanapata elimu bora hadi University.

Lema ametumia busara kulinganisha kipato cha Canada na probability ya kupata kipato kupitia siasa kuanzia sasa na kuendelea hapa nyumbani ambapo kwa hapa ni almost sifuri.

Lema ametumia hekima kutogombea ili aendelee kuvuta maisha uko Canada ambayo ni ya uhakika na kudumu.

Ikitokea miujiza huku Tanzania hali ikageuka kisiasa kiasi akawa na uhakika wa kupata ubunge atarudi otherwise bye bye.

Wajinga humu jf na mitandao mingine badala ya kutafuta maisha wanasubiri chama fulani kiingie madarakani eti maisha yao yabadilike.

Dunia ya sasa ni vigumu mtu kukutetea wewe, kwanza anaangalia tumbo lake, ukiona anakutetea basi na yeye hilo jambo linamgusa.

Kama kiongozi mkuu wa kanda hakukuwa na justification ya yeye kukwepa kushuhudia kiongozi mpya akichaguliwa; hakukuwa na dharura huko Canada mkewe na watoto ni buheri wa afya lakini amewaacha solemba aliokuwa anadai anawapenda na kuwatumikia.

Wajinga ndio waliwao

Kila la heri huko uliko katika maisha yako mapya Lema.
 
Leema ni muungwana si mkabila ndio mjue chama wisha habar yake munabaki na garasi anajua lisu hapati na chama k
wisha. Habari huyo ni nabii alisha jua lisu hapati naye lisu anajua lakini anataka mjue nani kama chama simwingine ni mbowe ,mi pia jumamosi najitoa chadema Acha mwende mulivyo panga ila mumeu,miza vijana wangejua alacho nyuki wasinge onja asali poleni vijana Mungu atajua wote sie marehemu
 
Chadema kinakufa kifo kibaya sana,,,Chama ambacho watanzania walikiamini,,ila wachache wameamua hivyo,,,,,,mimi ni CCM ila sijapenda chadema kufa kirahisi hivyo,,,,,,,,,
 
Chama cha ukanda, udini, ukabila na utaifa, na badoo mpaka msemeeeeeee
 
Reactions: Tui
Sasa hapo hilo Tatizo kubwa kwenye chama liko wapi?
Acha kujiblindfold,unajizima data.
This time mmeingia mtego wenyewe.
Tunajua Mbowe hawezi kumpisha lissu Wala hawezi kuruhusu ashinde.
Yeye mwenyewe anaenda kubaki na chadema yake dhaifu.
Mwenyekiti na machawa wake kama wewe hii imekaa Vibaya,Mwenyekiti akijiloga akawa fair,anashindwa asubuhi mtafute Kazi zingine za kufanya.
Kila siku kuwanyooshea vidole CCM kuwaita chawa kumbe nyie ndio hamtaki mwamba aguswe hata "kucha"!
Kunguni,kupe wakubwa ninyi.
 
One of the BEST COMMENT in 2024. Natamani iwekewe lamination kabisa 📌
 
Tumepata aibu ya karne wakereketwa wa cdm
 
No reforms no elections hiii Tanzania ukiwatumia lipumba na mbowe unatawala milele
 
Leteni madili ya CCM sisi tufanye kazi, taifa hili bila CCM imara ni miyeyusho. Huko Chadema wamejaa majizi mtupu, mkikaa vibaya hata Lisu watamuiba.
 
Ila chadema mmezingua sana. Nani atawaamini tena? Kama mnaparurana wenyewe kwa wenyewe ndani ya chama mkipewa serikali si ndio mtalikoroga kabisa kisha mtashindwa kulinywa? Mpaka hapo kwa ujinga unaoendelea ndani ya chama kwenye chaguzi zenu mmeshayapa MaCCM credit kibao
 
Bora Lema aka Nabii umejiondokea chakufia nini kwenye SACCOS isiyojielewa..acha waparuane na kutekana hadi 2025..
 
Pole wee Erythrocyte
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…