Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ni Kama walimu tuuMjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema amewataka polisi kushiriki harakati za kudai haki na kukataa kutekeleza amri au maagizo yasiyo ya haki wanayopewa na viongozi wao.
View attachment 3294281
Yeah, hao pia Heche aliwahi kuzungumzia hali yaoNi Kama walimu tuu
Sindano ya Moto inapenya mpaka kuwili .Afande na mzuzu wake bila aibu anaomba posho ya 5000 ili aweke maelezo ya kesi wizi WA kuku .Syringe Ya Moto
Mjinga mkubwa mbona akiwa mbunge akipokea hayo mamilioni hakuongeq hayo?Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema amewataka polisi kushiriki harakati za kudai haki na kukataa kutekeleza amri au maagizo yasiyo ya haki wanayopewa na viongozi wao.
View attachment 3294281
Hata kama hakuongea bado haibadilishi kuwa ameongea hard facts, polisi wana njaa kali lakini ndiyo wanatumika kukandamiza opposition.Mjinga mkubwa mbona akiwa mbunge akipokea hayo mamilioni hakuongeq hayo?
Mnafiki mkubwa alipolamba pesa za ubunge hajawahi ongea
Wewe kuonyesha kuwa siomnafiki rekebisha Sasa, polis walipwe pesa ndefuMjinga mkubwa mbona akiwa mbunge akipokea hayo mamilioni hakuongeq hayo?
Mnafiki mkubwa alipolamba pesa za ubunge hajawahi ongea
Kwahiyo yeye, akipewa kiti atafanya vipi, watalipwa kma wabunge au wote watashushiwa mshahara au itakuaje, embu tupe facts alizokupa kwenye kikaoHata kama hakuongea bado haibadilishi kuwa ameongea hard facts, polisi wana njaa kali lakini ndiyo wanatumika kukandamiza opposition.
NB: Kuyapokea mamilioni hata akiingia bungeni muda huu ana haki as long as ni mshahara na posho halali, kwa kuwa CCM ndiyo wanaoliongoza Bunge tusitegemee lolote kubadilika kwanza walishawahi kudai mishara/posho ni vidogo na haviwatoshi(sick....!) hivyo wanataka waongezewe
Wewe ni CHAWA ,WEWE NI MALAYA WA KISIASA huwezi kuelewa Kwa sasaMjinga mkubwa mbona akiwa mbunge akipokea hayo mamilioni hakuongeq hayo?
Mnafiki mkubwa alipolamba pesa za ubunge hajawahi ongea
Yaani ni ppf zamani inachemshwa kwanzaSyringe Ya Moto