Pre GE2025 Godbless Lema: Uchaguzi 'huru na haki', umeongeza heshima kwa Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Godbless Lema, Mjumbe Kamati Kuu CHADEMA.

"Kwa sababu mara ya kwanza nilipoona misuguano imekuwa mikali sana nilikuwa natuma nilituma watu wajaribu kumwambia Mhe. Mwenyekiti (Freeman Mbowe) ajitoe. Nikihofia kwamba akianguka labda itashuka kidogo. Lakini alipoamua kuweka uchaguzi kwa kiwango kile hadharani nafikiri imeongeza legacy na heshima yake. Hili jambo limemuongezea heshima zaidi"

Soma, Pia:

- Freeman Mbowe amesema sasa anaenda kutafuta Mafekeche akiwaaga Wajumbe Ukumbini, "ninyi jengeni Siasa"

- Godbless Lema: Mbowe ameniambia zaidi ya mara 5 amechoka anataka kuachia Chama hiki
 
Hakika, Mh Mbowe ana jambo kubwa sana la kujivunia. Pia ana sababu ya kujivunia kuwa amelea vijana mpaka amepata mrithi. Amejitanabaisha kuwa mwana democrasia haswa. Sasa ana leverage kubwa sana kwenye platforms za Kidemocrasia.
 
Sio heshima kwa Mbowe tu suala hili limeongeza heshima ya CHADEMA maradufu.

Suala hili limewafumbua macho watanzania na sasa wanaelewa nini maana ya uchaguzi huru na wa haki.

Suala hili limekimbambanua CHADEMA kama chama cha kipekee sana na Bora zaidi nchini Tanzania. CHADEMA kimefanikiwa rasmi kuingia mioyoni mwa watanzania wote hadi vijana wadogo wanaotizama TV ambapo sasa ukiwauliza kuhusu uchaguzi huru na wa haki it's obvious watafanya reference kwa uchaguzi wa CHADEMA.

Kwa kifupi CHADEMA sasa inastahili kupewa nchi na serikali. Wameshafuzu!
 
Godbless Lema, Mjumbe Kamati Kuu CHADEMA.

"Kwa sababu mara ya kwanza nilipoona misuguano imekuwa mikali sana nilikuwa natuma nilituma watu wajaribu kumwambia Mhe. Mwenyekiti (Freeman Mbowe) ajitoe. Nikihofia kwamba akianguka labda itashuka kidogo. Lakini alipoamua kuweka uchaguzi kwa kiwango kile hadharani nafikiri imeongeza legacy na heshima yake. Hili jambo limemuongezea heshima zaidi"
View attachment 3210711
Soma, Pia:

- Freeman Mbowe amesema sasa anaenda kutafuta Mafekeche akiwaaga Wajumbe Ukumbini, "ninyi jengeni Siasa"

- Godbless Lema: Mbowe ameniambia zaidi ya mara 5 amechoka anataka kuachia Chama hiki
Uchaguzi ulikuwa wa viwango vya juu mno.. Hongera zake mwamba
 
Sio heshima kwa Mbowe tu suala hili limeongeza heshima ya CHADEMA maradufu.

Suala hili limewafumbua macho watanzania na sasa wanaelewa nini maana ya uchaguzi huru na wa haki.

Suala hili limekimbambanua CHADEMA kama chama cha kipekee sana na Bora zaidi nchini Tanzania.

Kwa kifupi CHADEMA sasa inastahili kupewa nchi na serikali. Wameshafuzu!
Sikuamini kama tutavuka salama huu uchaguzi.. Niliteseka mno kila nikiona ile mitifuano ya makada
 
Ile ndo Demokrasia sasa. Kupitia uchaguzi wa CHADEMA tumeona principles zote za Demokrasia

Uhuru wa maoni, Uhuru wa kuamini unachoamini, Haki ya Kuchagua na kuchaguliwa na vingine vingi.

Chadema wametengeneza precedent kubwa sana na kwa kifupi wameingia rasmi mioyoni mwa watanzania wengi sana.

Kilichobaki ni kuwapa nchi na serikali tu.
 
Wengine wanadiriki kusema Mbowe ameaibika, wasijue viwango alivyoviweka ni unprecedented. Kwa siasa za Afrika no ngumu kukutana na uchaguzi wa namna ile.

Respect 🙏 sana kwa mwamba..
 
Godbless Lema, Mjumbe Kamati Kuu CHADEMA.

"Kwa sababu mara ya kwanza nilipoona misuguano imekuwa mikali sana nilikuwa natuma nilituma watu wajaribu kumwambia Mhe. Mwenyekiti (Freeman Mbowe) ajitoe. Nikihofia kwamba akianguka labda itashuka kidogo. Lakini alipoamua kuweka uchaguzi kwa kiwango kile hadharani nafikiri imeongeza legacy na heshima yake. Hili jambo limemuongezea heshima zaidi"
View attachment 3210711
Soma, Pia:

- Freeman Mbowe amesema sasa anaenda kutafuta Mafekeche akiwaaga Wajumbe Ukumbini, "ninyi jengeni Siasa"

- Godbless Lema: Mbowe ameniambia zaidi ya mara 5 amechoka anataka kuachia Chama hiki
Haya ni matusi ya rejareja
 
Mbowe kaweka heshima lakini vibaraaka wake na CCM wameabika mno.
 
Sikuamini kama tutavuka salama huu uchaguzi.. Niliteseka mno kila nikiona ile mitifuano ya makada
Wachache sana tulioamini katika demokrasia.

Wachache sana tulimuamini Mbowe na kujua anataka nini kurudisha imani kwa wanachama.

Mbowe ange step down, cdm ingejitafuta sana. Hiki walichokifanya ni akili kubwa. Hapa akina Lissu wasiharibu hii tone.

Tutarajie CDM vs CCM kuwa piga nikupige.
 
Sio heshima kwa Mbowe tu suala hili limeongeza heshima ya CHADEMA maradufu.

Suala hili limewafumbua macho watanzania na sasa wanaelewa nini maana ya uchaguzi huru na wa haki.

Suala hili limekimbambanua CHADEMA kama chama cha kipekee sana na Bora zaidi nchini Tanzania. CHADEMA kimefanikiwa rasmi kuingia mioyoni mwa watanzania wote hadi vijana wadogo wanaotizama TV ambapo sasa ukiwauliza kuhusu uchaguzi huru na wa haki it's obvious watafanya reference kwa uchaguzi wa CHADEMA.

Kwa kifupi CHADEMA sasa inastahili kupewa nchi na serikali. Wameshafuzu!
Salute mingi sana Mkuu
 
Back
Top Bottom