Sio heshima kwa Mbowe tu suala hili limeongeza heshima ya CHADEMA maradufu.
Suala hili limewafumbua macho watanzania na sasa wanaelewa nini maana ya uchaguzi huru na wa haki.
Suala hili limekimbambanua CHADEMA kama chama cha kipekee sana na Bora zaidi nchini Tanzania. CHADEMA kimefanikiwa rasmi kuingia mioyoni mwa watanzania wote hadi vijana wadogo wanaotizama TV ambapo sasa ukiwauliza kuhusu uchaguzi huru na wa haki it's obvious watafanya reference kwa uchaguzi wa CHADEMA.
Kwa kifupi CHADEMA sasa inastahili kupewa nchi na serikali. Wameshafuzu!