"Kwa sababu mara ya kwanza nilipoona misuguano imekuwa mikali sana nilikuwa natuma nilituma watu wajaribu kumwambia Mhe. Mwenyekiti (Freeman Mbowe) ajitoe. Nikihofia kwamba akianguka labda itashuka kidogo. Lakini alipoamua kuweka uchaguzi kwa kiwango kile hadharani nafikiri imeongeza legacy na heshima yake. Hili jambo limemuongezea heshima zaidi"
Hakika, Mh Mbowe ana jambo kubwa sana la kujivunia. Pia ana sababu ya kujivunia kuwa amelea vijana mpaka amepata mrithi. Amejitanabaisha kuwa mwana democrasia haswa. Sasa ana leverage kubwa sana kwenye platforms za Kidemocrasia.
Sio heshima kwa Mbowe tu suala hili limeongeza heshima ya CHADEMA maradufu.
Suala hili limewafumbua macho watanzania na sasa wanaelewa nini maana ya uchaguzi huru na wa haki.
Suala hili limekimbambanua CHADEMA kama chama cha kipekee sana na Bora zaidi nchini Tanzania. CHADEMA kimefanikiwa rasmi kuingia mioyoni mwa watanzania wote hadi vijana wadogo wanaotizama TV ambapo sasa ukiwauliza kuhusu uchaguzi huru na wa haki it's obvious watafanya reference kwa uchaguzi wa CHADEMA.
Kwa kifupi CHADEMA sasa inastahili kupewa nchi na serikali. Wameshafuzu!
"Kwa sababu mara ya kwanza nilipoona misuguano imekuwa mikali sana nilikuwa natuma nilituma watu wajaribu kumwambia Mhe. Mwenyekiti (Freeman Mbowe) ajitoe. Nikihofia kwamba akianguka labda itashuka kidogo. Lakini alipoamua kuweka uchaguzi kwa kiwango kile hadharani nafikiri imeongeza legacy na heshima yake. Hili jambo limemuongezea heshima zaidi" View attachment 3210711
Soma, Pia:
Wengine wanadiriki kusema Mbowe ameaibika, wasijue viwango alivyoviweka ni unprecedented. Kwa siasa za Afrika no ngumu kukutana na uchaguzi wa namna ile.