Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Hivi Lema huwa anafanya screening ya speech zake kable hajaenda kuongea on stage?
Akizungumza kwenye kampeni za Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa siku ya leo, Lema ametumia maneno magumu mno.
Soma Pia: Godbless Lema: Hata mkiniambia tukaandamane Jumatatu ntawaongoza kuingia barabarani. Hatuwezi kuomba kibali kwa mlevi!
Bila shaka hapa alikuwa anazungumzia jinsi umasikini unavyoathiri Watanzania na hasa alikuwa anazungumzia uvaaji wa nguo za mitumba ambapo alinukuliwa akisema:
"Asilimia 90 ya watu walioko hapa tumevaa mitumba kuanzia mitumba hadi chupi. Ukivaa chupi ambayo imevaliwa na wenzako sio orijino ni umasikini. Yaani ukiona mke wako anavaa chupi ya mwanamke mwingine ambaye huyo mwanamke mwingine aliivaa Marekani alafu anakwambia Dadii hii ni orijino. Sio orijino ni umasikini."