LGE2024 Godbless Lema: Ukiona mke wako anavaa chupi ya mwanamke mwingine ambaye ametokea Marekani, hiyo nyumba ina umasikini

LGE2024 Godbless Lema: Ukiona mke wako anavaa chupi ya mwanamke mwingine ambaye ametokea Marekani, hiyo nyumba ina umasikini

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ukweli mchungu Watanzania 90% ni masikini na wanavaa mitumba

Ndio maana unaona magonjwa ya ngozi kansa magonjwa ya wanawake yamekuwa mengi Sana
 
Chupi ya Mtumba Bei ghali kuliko mpya

Anajua chupi za Kariakoo mpaka buku au ajui huyu jambazi mstaafu
Hizo za Bukubuku ikifuliwa mara mbili tu imechanika,wakati ya Mtumba iliyovaliwa na wazungu kwa buku tatu unaivaa mwaka mzima,hivyo yupo sahihi
 
Ukivyaa chupi ya mtumbaa,chinga wananauza makabati jadi 1000
 
keshakuwa hanisi, chupi za mchina zinauzwa buku jero, pia mitumba ya chupi ilishapigwa marufuku hivyo hamna chupi wala sindiria ya mtumba wacha kudanganya watu. halafu, vidada vya sikuhizi havivai chupi vinasema zina joto
 
Amesema ukweli ila angesema nguo ambazo zimeshavaliwa aka mitumba. Tunaposema mabadiliko yanahitajika ili kujitegemea mojawapo ni hili tatizo la mitumba. Tunataka viongozi waone hili na walifanyie kazi. Tulime pamba tutengeneze nguo zetu wenyewe hata kama hazitakuwa imara sana lakini ni zetu! Tukamue mafuta ya kupikia tuachane na korie! Tubuni na kutengeneza baiskeli zetu wenyewe. tutengeneze boti na mitumbwi ya kutosha tuvue samaki wa kutosha na wauzwe bei ambayo wananchi watamudu. NK. Kwa mfumo huu ajira zitakuwepo za kutosha. Yote yanawezekana ni utashi wa viongozi kufikiri vya nje vitatutoa kumbe ndio vinatufungamanisha na umasikini.
 
Shida iko wapi hapo.

Kama Taifa zima tunavaa mitumba aka nguo zilizovaliwa na watu wengi Ulaya kwanini tusiitwe masikini.
 
Back
Top Bottom