Bila shaka hapa alikuwa anazungumzia jinsi umasikini unavyoathiri Watanzania na hasa alikuwa anazungumzia uvaaji wa nguo za mitumba ambapo alinukuliwa akisema:
"Asilimia 90 ya watu walioko hapa tumevaa mitumba kuanzia mitumba hadi chupi. Ukivaa chupi ambayo imevaliwa na wenzako sio orijino ni umasikini. Yaani ukiona mke wako anavaa chupi ya mwanamke mwingine ambaye huyo mwanamke mwingine aliivaa Marekani alafu anakwambia Dadii hii ni orijino. Sio orijino ni umasikini."

Mbaya zaidi pamba inatoka Tanzania inaenda kutengeneza nguo Ulaya sababu ya ujinga wa viongozi badala ya kuboresha viwanda wao kazi kubwa ni kununua V8 na kuiba mali za umma.
wewe ndo hauko sawa ,nyie ndo hua mnaenda kwa wanaume zenu ,nimenunua shati orijino karume lamtumba (huo ndo umasikini) unavaaje nguo aliyovua mwanadamu mwezako akaitupa ikaokotwa ikapigwa pafyumu na madawa isioze ikasafrisha afrika ukanunua wakati genuine zipo madukani na gharama kuanzia 100000 na 80000 ..huo ni umasikini wakipato na akili