LGE2024 Godbless Lema: Viongozi wa CHADEMA Arusha wamenyimwa Viapo vya Mawakala siku moja kabla ya Uchaguzi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, kupitia ukurasa wake wa X, ameeleza kuwa viongozi wa CHADEMA katika Jimbo la Arusha Mjini wamenyimwa viapo vya mawakala. Hali hii imeibua wasiwasi mkubwa, hasa ikizingatiwa kuwa kesho, Novemba 27, ni siku rasmi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Lema amehoji uhalali wa hatua hiyo huku akitoa wito wa haki na uwazi katika mchakato wa uchaguzi.

Pia, Soma: Kigamboni: Mawakala wa CHADEMA walalamika kutokuapishwa hadi sasa wakati Mawakala wa CCM wakiendelea na mchakato huo
 
Wazee acheni kulalamika ovyo,kila siku malalamiko,kila sehem malalamiko,sasa muitwe malalamiko fc,kama wanawazuia kuapishwa,sisi tufanyeje sasa,jitoeni waachieni.
 
Mie hadi leo sijui kwanini Ccm wana itisha uchaguzi kwa gharama zetu wakati ni viini macho
 
Chawa wa Mzee Mbowe katika ubora wake.
 
Nilitalajia haya yatokeee
 
Hakuna uchaguzi
Uchaguz tz ni kiini macho tu
Kesho mtasikia maamivu tu

Ova
 
CHADEKU chama cha democrasia na kulialia
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…