LGE2024 Godbless Lema: Viongozi wa CHADEMA Arusha wamenyimwa Viapo vya Mawakala siku moja kabla ya Uchaguzi

LGE2024 Godbless Lema: Viongozi wa CHADEMA Arusha wamenyimwa Viapo vya Mawakala siku moja kabla ya Uchaguzi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wazee acheni kulalamika ovyo,kila siku malalamiko,kila sehem malalamiko,sasa muitwe malalamiko fc,kama wanawazuia kuapishwa,sisi tufanyeje sasa,jitoeni waachieni.
emu fafanua mkuu badala ya kulalamika kwa tukio kama hilo wafanye nini, najua wapo humu wnaweza kukusikiliza . sema usikike
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, kupitia ukurasa wake wa X, ameeleza kuwa viongozi wa CHADEMA katika Jimbo la Arusha Mjini wamenyimwa viapo vya mawakala. Hali hii imeibua wasiwasi mkubwa, hasa ikizingatiwa kuwa kesho, Novemba 27, ni siku rasmi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Lema amehoji uhalali wa hatua hiyo huku akitoa wito wa haki na uwazi katika mchakato wa uchaguzi.

Pia, Soma: Kigamboni: Mawakala wa CHADEMA walalamika kutokuapishwa hadi sasa wakati Mawakala wa CCM wakiendelea na mchakato huo
Akome
 
Wanashiriki na wanajua what is gonna happen kisha baadaye wanalalamika !!
🙄😳🤦🏽‍♂️
Which is which ??!
Wakulalamika hapa wa kwanza inatakiwe tuwe sisi wananchi, kodi zinatumika vibaya kwa chaguzi za maigizo. Heri tuwe kama china chama kimoja, sio vyama vingi vya geresha
 
Wakulalamika hapa wa kwanza inatakiwe tuwe sisi wananchi, kodi zinatumika vibaya kwa chaguzi za maigizo. Heri tuwe kama china chama kimoja, sio vyama vingi vya geresha
Naunga mkono hoja 💯
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom