LGE2024 Godbless Lema: Viongozi wa CHADEMA Arusha wamenyimwa Viapo vya Mawakala siku moja kabla ya Uchaguzi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wazee acheni kulalamika ovyo,kila siku malalamiko,kila sehem malalamiko,sasa muitwe malalamiko fc,kama wanawazuia kuapishwa,sisi tufanyeje sasa,jitoeni waachieni.
Huna tofauti na kiungo ulichitokea wewe
 
Wana chama wa CDM wana matusi sana, hawafai kupewa uongozi
Hii nchi Haina Sheria? Serikali ya Ccm imeshindwa kusimamia utawala Bora na utawala wa Sheria! Haifai kuwapo madarkani! Unaonaje hiyo argument? Inahold water?
How comes tunajua kwamba matusi hayakubaliki katika jamii, lakini wale wenye mamlaka wanashindwa kusimamia Sheria na kuwashtaki wale wanaotukana na kubaki kulalamika tu kuwa wantukanwa, unadhani kwamba wanafaa kuwa viongozi? Au kuambiwa ukweli siku hizi Tafsiri yake ni matusi?
 
Amani imeshavurugwa na CCM bado machafuko ni kitrndo cha kumalizia tu.
 
Nani anaratibu uharamia huo?
 
Msikubali kudhulumiwa haki yenu kizembe wachapeni hao wezi wamezoea kula bila kunawa.
 
Ndio maana Mdude anahenyeshwa sasa hivi
 
CCM ni shetani kabisa
 
Kwani toka lini Shetani akageuka malaika? Si mjitoe tu mdili na katiba mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…