emu fafanua mkuu badala ya kulalamika kwa tukio kama hilo wafanye nini, najua wapo humu wnaweza kukusikiliza . sema usikikeWazee acheni kulalamika ovyo,kila siku malalamiko,kila sehem malalamiko,sasa muitwe malalamiko fc,kama wanawazuia kuapishwa,sisi tufanyeje sasa,jitoeni waachieni.
mkuu emu eleza wafanye niniCHADEKU chama cha democrasia na kulialia
Kinachofanyika ni impunity na sio Rule of law !Ndio maana Mdude anahenyeshwa sasa hivi
AkomeMwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, kupitia ukurasa wake wa X, ameeleza kuwa viongozi wa CHADEMA katika Jimbo la Arusha Mjini wamenyimwa viapo vya mawakala. Hali hii imeibua wasiwasi mkubwa, hasa ikizingatiwa kuwa kesho, Novemba 27, ni siku rasmi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Lema amehoji uhalali wa hatua hiyo huku akitoa wito wa haki na uwazi katika mchakato wa uchaguzi.
Pia, Soma: Kigamboni: Mawakala wa CHADEMA walalamika kutokuapishwa hadi sasa wakati Mawakala wa CCM wakiendelea na mchakato huo
Wanashiriki na wanajua what is gonna happen kisha baadaye wanalalamika !!Mmelazimishwa kushiriki?
Wakulalamika hapa wa kwanza inatakiwe tuwe sisi wananchi, kodi zinatumika vibaya kwa chaguzi za maigizo. Heri tuwe kama china chama kimoja, sio vyama vingi vya gereshaWanashiriki na wanajua what is gonna happen kisha baadaye wanalalamika !!
ππ³π€¦π½ββοΈ
Which is which ??!
Naunga mkono hoja π―Wakulalamika hapa wa kwanza inatakiwe tuwe sisi wananchi, kodi zinatumika vibaya kwa chaguzi za maigizo. Heri tuwe kama china chama kimoja, sio vyama vingi vya geresha