Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,322
- 3,648
.Waislam watajibu hii,Lema awezi kuita waislam wajinga na wakakaa kimya.
"Ndugu zangu Waislamu,teteeni mtu kwa sababu ya haki,msitetee mtu kwa sababu ya dini, Waislamu wengine nakula nao kiti moto na nakunywa nao bia hawamjui Mungu yoyote" Godbless Lema"Tulimpinga Hayati Rais Magufuli kwa miaka mitano hawakusema kwa sababu ni mkristo,Leo tunampinga Rais Samia wanasema kwa sababu ni Muislam,wajinga nyinyi" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariYetuTemeke.
"Mashehe wengi waliwekwa jela wakati wa Utawala wa Rais Kikwete hawakusema kwa sababu ni muislam,kama Mashehe hao wangewekwa ndani wakati Rais akiwa ni mkristo,nchi hii ingewaka moto,hii ni akili mbovu sana" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariYetuTemeke.
"Leo niwaambie CCM ndio Chama kitakachowaingiza Watanzania kwenye udini kwa sababu akili ya kutawala imefika mwisho kwenye Chama chao" Gobless Lema#MkutanoOkoaBandatiYetuTemeke.
"Chadema tutakwenda kuvunja mipaka ya udini,tutakwenda kuweka haki,usawa na Uzalendo mbele,hii ni kwa maslahi ya nchi yetu Tanzania" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariZetuTemeke.
"Wameingia mkataba wa kijinga kwenye bandari yetu ambayo inategemewa na Zambia,Malawi, Zimbabwe,Congo,Rwanda,Burundi na Uganda" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariZetuTemeke.
"Ndugu zangu Waislamu,teteeni mtu kwa sababu ya haki,msitetee mtu kwa sababu ya dini, Waislamu wengine nakula nao kiti moto na nakunywa nao bia hawamjui Mungu yoyote" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariZetuTemeke.
Viongozi wako kwenye chama cha majizi ya kura.Wadanganyeni watoto walio zaliwa jana ila chadema hakuna kiongozi kwasasa
😂😂 Bungeni Kitimoto hakipoi!"Ndugu zangu Waislamu,teteeni mtu kwa sababu ya haki,msitetee mtu kwa sababu ya dini, Waislamu wengine nakula nao kiti moto na nakunywa nao bia hawamjui Mungu yoyote" Godbless Lema
Kweli lakini"Tulimpinga Hayati Rais Magufuli kwa miaka mitano hawakusema kwa sababu ni mkristo,Leo tunampinga Rais Samia wanasema kwa sababu ni Muislam,wajinga nyinyi" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariYetuTemeke.
"Mashehe wengi waliwekwa jela wakati wa Utawala wa Rais Kikwete hawakusema kwa sababu ni muislam,kama Mashehe hao wangewekwa ndani wakati Rais akiwa ni mkristo,nchi hii ingewaka moto,hii ni akili mbovu sana" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariYetuTemeke.
"Leo niwaambie CCM ndio Chama kitakachowaingiza Watanzania kwenye udini kwa sababu akili ya kutawala imefika mwisho kwenye Chama chao" Gobless Lema#MkutanoOkoaBandatiYetuTemeke.
"Chadema tutakwenda kuvunja mipaka ya udini,tutakwenda kuweka haki,usawa na Uzalendo mbele,hii ni kwa maslahi ya nchi yetu Tanzania" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariZetuTemeke.
"Wameingia mkataba wa kijinga kwenye bandari yetu ambayo inategemewa na Zambia,Malawi, Zimbabwe,Congo,Rwanda,Burundi na Uganda" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariZetuTemeke.
"Ndugu zangu Waislamu,teteeni mtu kwa sababu ya haki,msitetee mtu kwa sababu ya dini, Waislamu wengine nakula nao kiti moto na nakunywa nao bia hawamjui Mungu yoyote" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariZetuTemeke.
Yupo sahihi., maana si vyema kumtetea mtu kwa sababu ni ndugu, rafiki, jamaa au Dini yako bari mtetee mtu kwa HAKI."Tulimpinga Hayati Rais Magufuli kwa miaka mitano hawakusema kwa sababu ni mkristo,Leo tunampinga Rais Samia wanasema kwa sababu ni Muislam,wajinga nyinyi" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariYetuTemeke.
"Mashehe wengi waliwekwa jela wakati wa Utawala wa Rais Kikwete hawakusema kwa sababu ni muislam,kama Mashehe hao wangewekwa ndani wakati Rais akiwa ni mkristo,nchi hii ingewaka moto,hii ni akili mbovu sana" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariYetuTemeke.
"Leo niwaambie CCM ndio Chama kitakachowaingiza Watanzania kwenye udini kwa sababu akili ya kutawala imefika mwisho kwenye Chama chao" Gobless Lema#MkutanoOkoaBandatiYetuTemeke.
"Chadema tutakwenda kuvunja mipaka ya udini,tutakwenda kuweka haki,usawa na Uzalendo mbele,hii ni kwa maslahi ya nchi yetu Tanzania" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariZetuTemeke.
"Wameingia mkataba wa kijinga kwenye bandari yetu ambayo inategemewa na Zambia,Malawi, Zimbabwe,Congo,Rwanda,Burundi na Uganda" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariZetuTemeke.
"Ndugu zangu Waislamu,teteeni mtu kwa sababu ya haki,msitetee mtu kwa sababu ya dini, Waislamu wengine nakula nao kiti moto na nakunywa nao bia hawamjui Mungu yoyote" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariZetuTemeke.
Hii ni kauli thabiti na ya kizalendo haswa. Kongole nyingi mno ziende kwa kamanda Lema. Nchi hii kwa sasa inamuhitaji mno mtu wa kariba yake kwa ajili ya ulinzi wa rasilimali za taifa letu."Tulimpinga Hayati Rais Magufuli kwa miaka mitano hawakusema kwa sababu ni mkristo,Leo tunampinga Rais Samia wanasema kwa sababu ni Muislam,wajinga nyinyi" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariYetuTemeke.
"Mashehe wengi waliwekwa jela wakati wa Utawala wa Rais Kikwete hawakusema kwa sababu ni muislam,kama Mashehe hao wangewekwa ndani wakati Rais akiwa ni mkristo,nchi hii ingewaka moto,hii ni akili mbovu sana" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariYetuTemeke.
"Leo niwaambie CCM ndio Chama kitakachowaingiza Watanzania kwenye udini kwa sababu akili ya kutawala imefika mwisho kwenye Chama chao" Gobless Lema#MkutanoOkoaBandatiYetuTemeke.
"Chadema tutakwenda kuvunja mipaka ya udini,tutakwenda kuweka haki,usawa na Uzalendo mbele,hii ni kwa maslahi ya nchi yetu Tanzania" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariZetuTemeke.
"Wameingia mkataba wa kijinga kwenye bandari yetu ambayo inategemewa na Zambia,Malawi, Zimbabwe,Congo,Rwanda,Burundi na Uganda" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariZetuTemeke.
"Ndugu zangu Waislamu,teteeni mtu kwa sababu ya haki,msitetee mtu kwa sababu ya dini, Waislamu wengine nakula nao kiti moto na nakunywa nao bia hawamjui Mungu yoyote" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariZetuTemeke.
Insu ya Bandari ijadiliwe na wetu wenye weredi na wanao seto bill zao wenyewe, si mtu ambae anaendesha maisha kwa hook up nae atie mdomo.Wadanganyeni watoto walio zaliwa jana ila chadema hakuna kiongozi kwasasa
100% perfectYupo sahihi., maana si vyema kumtetea mtu kwa sababu ni ndugu, rafiki, jamaa au Dini yako bari mtetee mtu kwa HAKI.
🤣🤣🤣wajinga nyinyi" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariYetuTemeke.
Kwaza ili nikujibu nijibu
Umeachana na upinde?
Kwani Extremist Faiza anasemaje?"Tulimpinga Hayati Rais Magufuli kwa miaka mitano hawakusema kwa sababu ni mkristo,Leo tunampinga Rais Samia wanasema kwa sababu ni Muislam,wajinga nyinyi" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariYetuTemeke.
"Mashehe wengi waliwekwa jela wakati wa Utawala wa Rais Kikwete hawakusema kwa sababu ni muislam,kama Mashehe hao wangewekwa ndani wakati Rais akiwa ni mkristo,nchi hii ingewaka moto,hii ni akili mbovu sana" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariYetuTemeke.
"Leo niwaambie CCM ndio Chama kitakachowaingiza Watanzania kwenye udini kwa sababu akili ya kutawala imefika mwisho kwenye Chama chao" Gobless Lema#MkutanoOkoaBandatiYetuTemeke.
"Chadema tutakwenda kuvunja mipaka ya udini,tutakwenda kuweka haki,usawa na Uzalendo mbele,hii ni kwa maslahi ya nchi yetu Tanzania" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariZetuTemeke.
"Wameingia mkataba wa kijinga kwenye bandari yetu ambayo inategemewa na Zambia,Malawi, Zimbabwe,Congo,Rwanda,Burundi na Uganda" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariZetuTemeke.
"Ndugu zangu Waislamu,teteeni mtu kwa sababu ya haki,msitetee mtu kwa sababu ya dini, Waislamu wengine nakula nao kiti moto na nakunywa nao bia hawamjui Mungu yoyote" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariZetuTemeke.
Wewe unasema hakuna muisilam anaekula kitomoto Kwa data zipi?Hakuna Muislam anayekula kitimoto, na Lema kama Kiongozi hana tofauti nahao mashehe wanaomtetea Samia Kwa Dini yake.
OK..........?Insu ya Bandari ijadiliwe na wetu wenye weredi na wanao seto bill zao wenyewe, si mtu ambae anaendesha maisha kwa hook up nae atie mdomo.
Sina hakika watanzania wana muda kumsikiliza kila mtu.