Godbless Lema: Waislamu teteeni mtu kwa sababu ya haki, msitetee mtu kwa sababu ya dini

Kati ya Waislamu na Wakristo wapi ni watu wa Haki hapa Tanzania? Eg Uongozi wa Wakristo vs Uongozi wa Waislamu

Mara elfu Waislamu Huwa wanajali maslahi ya watu ila nyie wengine ni waharibifu na wapuuzi
 
Wafuasi wa MUDY ni wepesi Sana kudanganyika nakumbuka kipindi kile cha Mzee msoga aliwadanganya atawapa mahakama ya kadhi na wafuasi wote wa MUDY walimpa Kura lkn mwisho wa picha waliishia kupewa kesi za ugaidi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] halafu aliwapa makavu live wakabaki kuinamisha ndevu, na kipindi cha katiba wakaambiwa wakalitazame upya swala hilo baada ya kususa bungeni daa!
 
Uhalisia Unajulikana wakristo ndo watu wepesi kufanganyika Kila Siku akina Mwamposa,Mitume wapya na Yesu wa tongareni wanaibuka Na wanapata Wafuasi wengi.
Ilikiwa Rahisi pia kwa paulo Kuwadanganya
Ukienda kwa Mwamposa ni nusu kwa nusu au unaweza kuta Wakristo ⅓ hiyo nyingine ni upande wa pili.
 
Chadema mkiendekeza udini hicho chama kitakufa kabla ya 2025 mimi ni mkatoliki pure lakini sina sababu za kumchukia Rais samia.
Halafu na wewe unapenda kujitambulisha ,ukichangia tu hoja haitoshi mmm jamani mbona mafather huwa wanyenyekevu sana !
 
Kati ya Waislamu na Wakristo wapi ni watu wa Haki hapa Tanzania? Eg Uongozi wa Wakristo vs Uongozi wa Waislamu

Mara elfu Waislamu Huwa wanajali maslahi ya watu ila nyie wengine ni waharibifu na wapuuzi
Sawa kabisa. Tena majamaa hayana hata subra. Mwenzao magu alipobipiwa kidogo tu alianza kuchinja watu wakati mama wa watu mpaka ametukanwa na mkristo Lissu na Nshalla wala hakuna aliyemgeuza chujio kama Lissu alivyofanyiwa kule Dodoma na bwana yule. Ewee Mwenyezi Mungu ninakuomba utulindia mama yatu dhidi ya fitna za majahili wa kanisa na CHADEMA.
 
Lema ana ajenda ya SIRI kwenye hili anataka kuwagawa WATU kiaina .
 
Ali Bananga aje abishe kama hali kiti moto na hanywi bia!
 
Wavaa kobazi hata awe amesoma mpaka level ya PhD linapokuja swala la dini hua hawana tofauti na wasiosoma
Vipi wale lilipokuja suala la kidini na waka ambiwa wafunge bila kula mpaka wafe,nao wakafunga mpaka wakafa,hao ndio waliosoma sio? Na wanaokanyaga mafuta ya upako ili wawe matajiri kimiujiza ndio wamesoma sio?
 
Hakuna Muislam anayekula kitimoto, na Lema kama Kiongozi hana tofauti nahao mashehe wanaomtetea Samia Kwa Dini yake.

Ali Bananga anakanyaga kitimoto na bia anakunywa hebu muiteni abishe tuone
 
Mimi nikisikia lema kasema kitu Huwa hata Sina haja ya kuisikiliza kasema Nini mana NaJua upumbavu wake hauna mwisho na Wala Hana agenda .yeye linakuja mbele yake ndio ana liongelea.

Huwezi kutenganisha dp world na udini hata siku Moja

Pamoja na udhaifu WA vipengele uliopo ila dp world kunasibishwa na uislamu ni kosa kubwa sana kwa wakiristo na wachungaji maana Kuna maslah Yao watakuwa hawayapati

Hawapo kwa ajili ya nchi Bali kwa matumbo yao na ndio hao wanapiga kelele Kila siku.
 
Halafu na wewe unapenda kujitambulisha ,ukichangia tu hoja haitoshi mmm jamani mbona mafather huwa wanyenyekevu sana !
Siyo dhambi kujitambulisha lakini. Haya nitaacha maana naona nakukera sana.
 
lema alishapanic.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
amesema ukweli uli ukweli, kwasababu icho ndicho kivuli sisiemu wamejitwika, ukifanya au kuongea chochte wanasema dini, wakati indirectly wao wanaendelea kuiba kupitia mgongo huo huo wa dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…