Godbless Lema: Waislamu teteeni mtu kwa sababu ya haki, msitetee mtu kwa sababu ya dini

Bila shaka kuna wanachama wa chaga deleopment manifesto (CHADEMA) ambao ni waislam nao wajinga vilevile. N wakiristo wana akili hata walioko CCM. This is the kind of thing
 
Alafu kwenu unaitwa MSOMI!!!!! Hii nchi ina wajinga wengi Sana ina maana hujui kuwa hawa Maraisi wote wa Tanzania wanawekwa na katoliki? Hata hicho chama chako CCM kipo chini ya katoliki
kama CCM ni katoliki chadema ni ya kanisa gani?Kwa mujibu wa lema kama ccm imeshindwa ukatoliki umeshindwa pia
 
Hapo nani sasa mdini? Kati yake yeye au waislamu? Halafu kutuita waislamu wajinga na kusema Waislamu wengine nakula nao kiti moto na nakunywa nao bia hawamjui Mungu yoyote! Aise rekebisha kauli zako

Kwanza chadema kuna udini, ukabila na ubaguzi, ni nani wa kuungana na chama chenye sifa hiyo!!! Tena huku kanda ya ziwa ndio mtusahau kabisa.
 
"Ndugu zangu Waislamu,teteeni mtu kwa sababu ya haki,msitetee mtu kwa sababu ya dini, Waislamu wengine nakula nao kiti moto na nakunywa nao bia hawamjui Mungu yoyote" Godbless Lema
Hayo maneno ya Lema aanze kwanza kumhubiria Padri Dr Slaa kwanini hakufungua kinywa chake kupinga Mkatoliki mwenzake kumpiga Risasi Tundu Lissu ?

kwanini Padri Slaa hakukumbuka umuhimu wa Katiba mpya wakati wa Urais wa Mkatoliki mwenzake 2015-2021?

Msitufanye watoto wadogo nyie mnanuka udini tangu siku mnazaliwa

mnafikiri tumesahau kauli ya Mwasisi wenu Mzee Mtei kupinga uteuzi wa Wajumbe wa Tume ya mabadiliko ya Katiba ya Jaji Warioba kwa hoja kuwa imejaa Waislam wengi hadi mkatishia kumfukuza Chamani Hayati Mwesiga Baregu?


Tunawajua kama nyie ni wadini sana na mnajijua sana kama ni Wadini sana sema mna sifa ya ziada ya Unafiki
 
Waislam kula kitimoto na kunywa bia vinahusiana nini na mkataba wa bandari yetu!
 
Mababa Askofu na mawakala wao waliokuwa kwny Mgao wa Escrow leo wanajivika koti la Uzalendo kwny Mkataba wa DP World kumbe chini ya Carpet nafsi zinawakereketa kwa udini, ubinafsi na roho mbaya

hatuitaki DP World lakini pia hatutaki agenda zao za chini ya Carpet

Kwani ni lazima uitishe Mkutano wa Injili ili kupinga DP World?

Chadema hawawezi kuendesha Siasa mpaka wapigwe buster na Kanisa?
 
Duh katika siku zote alzohubiri Toka arudi bongo leo huyu bwana karusha mawe..😞
 
Lema bado hajajifunza kuchagua maneno ya kuongea.
Ameongea ukweli,CUF kilikuwa chama chenye nguvu sana,CCM wakatunga uongo ni chama cha waislam leo wanawashambulia Chadema kwa style ile ile
 
Wafuasi wa MUDY ni wepesi Sana kudanganyika nakumbuka kipindi kile cha Mzee msoga aliwadanganya atawapa mahakama ya kadhi na wafuasi wote wa MUDY walimpa Kura lkn mwisho wa picha waliishia kupewa kesi za ugaidi
Hata ukienda west African wafuasi wa Muddy ndio waleta fujo,ndio maana wahindi wanawapiga vita huko kwao
 
kwa hiyo chadema ninyi hamutaki waislam kwenye harakati zenu?
kauli ya lema imekaaa kibaguzi sana kuhusu dini.
waislam lini walipinga utawala wa Hayati magufuli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…