Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaelewa vizuri ndugu that's y nimeuliza.Soma kwa makini!
Asante. Nilihitaji kujua hilo.GodDaddy ni domain provider
Ni Domain Registrar na pia wanafanya website hosting...Sijaelewa vizuri ndugu that's y nimeuliza.
Nilichoelewa ni kuwa ni website labda. Inahusika na mambo gani ?
Mtu mwingine atanielewesha kama wewe umeshindwa.
Tumia hostingerWadau kipi nakosea hapa.... Mbona kila nikisearch domain inaleta hivyoView attachment 2396181
Naona hapo ni: ie.godaddy.comWadau kipi nakosea hapa.... Mbona kila nikisearch domain inaleta hivyoView attachment 2396181
Kawaida hio huwa ni loading screen ukisearch domain.Wadau kipi nakosea hapa.... Mbona kila nikisearch domain inaleta hivyoView attachment 2396181
Nimekupata vizuri sana.xx
Ni Domain Registrar na pia wanafanya website hosting...
Yaani, assume unataka kufungua website ya demi.com au angalau kusajili domain name ya demi.com,...
...hapo unatakiwa kusajili domain name yako kwa domain registrar, na miongoni mwa hao ni Godaddy
Na kama utataka na kutengeneza website kabisa kwa hiyo domain, basi unaweza ku-host kwa hao hao GoDaddy.
NB: Una-register domain name hata kama huna mpango wa kutengeneza website kwa wakati huo ili kuhakikisha domain name husika (yaani demi.com or demi.net, n.k) haiwi registered na mtu mwingine!
Yah lakini sio pesa nyingi...Nimekupata vizuri sana.
Hapo kwenye NB. Ukiregister domain na huna mpango wa kutengeneza website kwa wakati huo na yenyewe unalipia fee kila mwaka?
Shukrani. 🙏Yah lakini sio pesa nyingi...
Kutegemeana na domain name yenyewe (zingine zinakuwa considered premium na hivyo hata renewal inakuwa ghali kidogo), in most cases ina-range kati ya $10 to $15/year!
Premium ni zile ambazo, mosi, kuzikuta zipo available ni amost impossible especially kwa English names, na ukibahatika kuikuta ipo available, basi unaweza kuiuza kwa pesa ndefu badala ya kutengeneza website!
Assume dunia ya kupenda ngono kama hii halafu ukute jina "sex.com" lipo available.
Anyway, hata majina mengine ambayo unaona moja kwa moja yanawasilisha kitu fupi, na ni rahisi kukumbuka, na zenyewe ni premium na bei yao inakuwa tofauti.
Tumia NamecheapWadau kipi nakosea hapa.... Mbona kila nikisearch domain inaleta hivyoView attachment 2396181
Njoo PM nikueleweshe mkuu.Sijaelewa vizuri ndugu that's y nimeuliza.
Nilichoelewa ni kuwa ni website labda. Inahusika na mambo gani ?
Mtu mwingine atanielewesha kama wewe umeshindwa.
Nimeshaelewa, barikiwa sana.