DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Jumuiya ya Taasisi za Elimu ya Juu (TAHLISO) imeiomba serikali kwa niaba ya wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu kuweza kuongezewa kiwango cha fedha ya kujikimu kutoka Shilingi elfu 10,000 hadi Shilingi 12,000 kwa siku.
Ameyasema hayo Rais wa TAHLISO Godfrey Kiliba Juni 14,2025 Dodoma wakati wa maadhimisho ya miaka 21, akikumbusha kuwa hivi sasa wanafunzi wa vyuo vikuu wanatumia Shilingi 10,000 kutoka kutumia Shilingi elfu 85,00 kwa siku moja.
"Iko historia kubwa ambayo Rais Samia ameweka katika taifa kwa kuwa Rais wa kwanza kuweka na kuanzisha utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya kati"

source:MwanaHabari