hapo wa kuwapa pole ni wale waliopigwa wakiwa makwao tu wale waliopigwa barabarani wakajifie zao huko waliyataka wenyeweAkiuliza swali kwa Msemaji Mkuu wa serikali Gerson Msigwa, mwandishi wa ITV Godfrey Monyo amehoji mpango wa serikali kuwafidia waliopotelewa Mali zao.
Kitendo cha kutogusia waliopoteza maisha kutokana na Uzembe wa vyombo vya Dola kunatujengea picha kwamba walio upande wa serikali hawathamini Uhai wa Watanzania uliopotea tena wengine wakiwa Majumbani kwao kama ilivyotokea kwa Mtangazaji wa Clouds Master Tindwa.
Kuna mtu alipoteza maisha kutokana na uzembe wa vyombo vya dola,kivipi?..unajua uzembe ni nini?Akiuliza swali kwa Msemaji Mkuu wa serikali Gerson Msigwa, mwandishi wa ITV Godfrey Monyo amehoji mpango wa serikali kuwafidia waliopotelewa Mali zao.
Kitendo cha kutogusia waliopoteza maisha kutokana na Uzembe wa vyombo vya Dola kunatujengea picha kwamba walio upande wa serikali hawathamini Uhai wa Watanzania uliopotea tena wengine wakiwa Majumbani kwao kama ilivyotokea kwa Mtangazaji wa Clouds Master Tindwa.
Swali gani ama Maswali gani ulitaka waulize?msingi
Kuharibu tasnia ya habari za maana ni kazi iliyofanywa vizuri sana na serikali ya CCM kuanzia utawala wa jiwe mpaka wa huyu mama, tasnia nzima ya habari sasa hivi imegeukwa kuwa vijiwe vya Simba na Yanga pamoja na comedy mbovu tu.Leo ndio nimeona uwezo wa waandishi wa habari wa nchi yenu,
munawalaumu tu bure hawa watu muwasamehe
ni vilaza by nature
Mtu alihamasishwa AKATIKI,wakati anarudi akapigwa risasi ya kichwa au tako akafa,huonei hiyo nafsi huruma kweli?hapo wa kuwapa pole ni wale waliopigwa wakiwa makwao tu wale waliopigwa barabarani wakajifie zao huko waliyataka wenyewe
1. Nini kimesababisha MO29? Tatizo hilo limeshughulikiwa?Swali gani ama Maswali gani ulitaka waulize?
Critical questionKuna ambae ameulizia kuhusu vifo na kupatikana kwa miili ya watu?
Wewe kibaraka wa Mbowe kaa kimya. Ulimpinga shujaa Magufuli bila sababu yoyote.Waandishi wamepangwa hao. Balile hayupo hapo, maana yeye ndio anawapa muongozo waandishi waulize nini. Utetezi wake wa kuficha ukweli huwa anasema taifa kwanza. Yaani kwake uongo ndio sifa ya kulinda taifa.
Magufuli alikuwa ni dhalimu, na huu ushenzi wote unaoendelea sasa yeye ndio muasisi.Wewe kibaraka wa Mbowe kaa kimya. Ulimpinga shujaa Magufuli bila sababu yoyote.