Godfrey Monyo wa ITV punguza kutumia nguvu unaporipoti habari

Godfrey Monyo wa ITV punguza kutumia nguvu unaporipoti habari

Mkyamise

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
482
Reaction score
614
Wewe ni mtangazaji mzuri ila punguza kutumia nguvu na gestures.

Unafika mahali unasema "meme" badala ya "mimi."

Relax wakati unareport.

Kazi njema!
 
Huyo jamaa apunguze hata kupiga mitungi ya ovyo

Kioo cha jamii unalewaje vile lakini?
 
Binafsi napenda, anavosema meme ne Godfrey Monyo
 
Mbengo zitafungoka ha ha ha ha eti " meme ni ....."
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa ungekutana uso kwa uso na George maratuuuuuuu Aitiviiiiiiiiiii Maraaa! Si ndiyo ungelalamika kweli kweli.

Hiyo ndiyo style yake bhana ya kuzungumza. Hivyo mpotezee tu kama vipi.
 
Ukizoe Sana kuongea na cm kubwa ukipewa ndogo unaongea kwanguvu ukihisi husikiki upande wapili
 
Back
Top Bottom