Godfrey Mosha: Watanzania wanadanganywa eti kuna utekaji ni uongo mtupu

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwenyekiti wa Mufindi Environmental Transformation, Godfrey Mosha, amesema madai kuhusu kuwepo kwa matukio ya utekaji nchini ni ya uongo, akidai yanalenga kueneza hofu na kuidhoofisha Tanzania. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mosha alisema kwa sasa wananchi wana uhuru wa kutoa maoni yao bila hofu, tofauti na ilivyokuwa kipindi cha nyuma.

Mosha pia alidai kuwa taharuki inayosambazwa kuhusu usalama imeathiri shughuli za biashara, akitolea mfano wa baadhi ya maduka kufungwa katika eneo la Kariakoo. Kwa mujibu wake, hali hiyo inachangia kupungua kwa shughuli za kiuchumi na kuathiri ukusanyaji wa mapato ya serikali.

Your browser is not able to display this video.
 
well done Godfrey Mosha for a very truthfully, powerful and patriotic statement to the nation 👊🔥
 
Sawa ni uongo ila subiri utekwe wewe ndiyo utakuja kujua upo au haupo.

Enzi za Magu ,Polepole ungembwambia kuna utekaji angekataa.
 
Dah tusijisahau sana Duniani tunapita, tusimtegemee sana mwanadamu
 
Huyu naye ku*";#&$;3784!'maw2u zake
 
Mbona anapepesa macho kama ana kifafa ??
 
Namshauri mazafaka arithi mikoba ya Polepole ili baada ya miezi michache atuletee mrejesho wenye uhakika zaidi kuhusu madai yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…