Godfrey Mosha: Watanzania wanadanganywa eti kuna utekaji ni uongo mtupu

Godfrey Mosha: Watanzania wanadanganywa eti kuna utekaji ni uongo mtupu

Ripoti ya jaji chande ilisema waliekwa zaidi ya watu 700 huyu nyani anaongea nini
 
Ukiacha wachangiaji umu wenye ID nyingi kumbe wapo wawili watatu tu

Ukweli mbele za Mungu Wafanyabiashara na jamii hasa Wachaga wanastahili kumuheshimu sana RAIS Dk Samia Suluhu
Hassan 👈

mana uwepo wake nikama umekuja kuwaponya😥👈

leo jamii zao zipo huru zaidi kuliko kabla ya kuja RAIS Dk Samia Suluhu Hassan!👈

Lkn ndio ivyo Binadamu Ukweli wameumbwa kusahu kukosa shuklan ❗️

Wamesaau yoteeee yale na ni jana na juzitu.

Tutakumbuka Bureau De Change kufungwa zilianzia Arusha nk👈
 
Angesapoti fujo zenye kuvunja Biashara za watu wakiwemo jamii yao wenyewe ya Wachaga❗️👈

ndio kwenu mngemuona mwenye Akili sana🫎🫎🫎 kweli nyumbu ni nyumbu 😇😇

Tokalini wenye Biashara wakapendezwa na fujo
zozote mijini ???

Kiakili tu watapata faida au ni hasara kubwa kwao baada Biashara zao kuporwa na Majizi wasiotaka
kufanyakazi👈
 
Amani ndio chaguo lako ili kukilinda kile kidogo unacho 👈

Amani ikiondoka jua na kile kidogo chako umekitafuta kwa tabu sana kunauwezekano kikaondoka na upepo wa Fujo👈.

Wanaotaka fujo wapo nje ya Tanzania 👈

wapo Salama wao watoto wao
Mali zao uko
Walipo 👈

sasa ww dahh‼️‼️‼️👈
 
Mwenyekiti wa taasisi ya Mufindi Environmental Transformation (MET), Godfrey Mosha amesema taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao kuhusu kupotea na kutekwa kwa watu nchini, ni "uongo mtupu" wenye lengo la kuchafua nchi

"Tulikuwa hatuzungumzi yaani ulikuwa ukitaka kuzungumza jambo, ulikuwa unaogopa. Sasa hivi hatuogopani, tunazungumza. Lakini sasa hivi lipo jambo lingine linapandikizwa: watu wanapotea, watu sijui wametekwa. Huu ni uongo mtupu! Ni namna ya kumbomoa na kumdhoofisha [Rais],"

Na hiki wanachomzungumza Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kwamba tukimtikisa atajiuzulu kwa sababu ni mwanamke, atakereka... Tumpe moyo. Tumpe moyo kutokana na wazee ambao nimekuwa nao na kuzungumza nao, Mohammed Abood wa Zanzibar. Sivyo huyu mambo yalivyo, sio hivyo"


 
Polepole kataka kutekwa mwenyewe kwa kupotosha Jamii kudanganya Jamii

Dk Slaa na orodha ya MAFISADI mbona yupo mtaani unajua kwanini

Dk Slaa kaongea hadharani mchana kweupe na kasema mwenyewe kubisha atangulie Mahakamani tutakutana uko💪

Nani kaenda Mahakamani???

Polepole kajua yeye ni muongo ndiomana katumia njia ya
kujificha

Mwisho tunasikia katekwa!!!

Polepole alikuwa muoga upande mmoja upande mwingine
anajiamini ❗️

Ukitaka kusema kweli tuchukue mfano mzuri wa Mzee wetu Dk Slaa jiamini kwanza!!
Mbona Mdude ,Soka ,Ben Saanane waliokuwa wanasema waziwazi bila kujificha na wameuawa kama alivyouliwa polepole aliyejificha?
 
Back
Top Bottom