Godfrey Mosha: Watanzania wanadanganywa eti kuna utekaji ni uongo mtupu

Sawa ni uongo ila subiri utekwe wewe ndiyo utakuja kujua upo au haupo.

Enzi za Magu ,Polepole ungembwambia kuna utekaji angekataa.
Mkuu mimi huwa naheshimu sana kila mtu atoe mawazo yake. Lakini mtu mzima anapofanya kebehi kwa roho zilizopotea kwa sababu ya huo huo utekaji anakuwa amevuka mpaka. Hata kama ni siasa kebehi jambo lolote lakini siyo kukebehi watu waliouawa bila hatia. Yeye na kizazi chake walaanike.
 
Wazee was..nf kama hawa huwa wanakufa mdomo WAZI....
 
Polepole ndiye aliyeanzisha utekaji na baba yake Magufuli, walimteka Ben Saanane na kumuua kwa bastola ya Magufuli mwenyewe na mkono wake.
Watu mnapenda sana kujizima data! Wakati Dr. Ulimboka anatekwa, Polepole na Magufuli walikuwa nani nchi hii?
 
Akili zako zinakutosha wewe mwenyewe.
 
Kwani huyu mwoosha ni wa hospitali ganii?Muhimbili ama policcmbarracks
 
well done Godfrey Mosha for a very truthfully, powerful and patriotic statement to the nation 👊🔥
Pole Pole Mdude soka saa nane Azory Kangoye nk wapo KANISANI WANA MUOMBA MUNGU WAO NA SERIKALI YA CCM INAWALINDA WASITEKWE.
 
Hivi wachaga tena Mosha wanakuwa machawa ajili mkate? Aibu kubwa sanaa......aibuu x 100....
 
Sawa ni uongo ila subiri utekwe wewe ndiyo utakuja kujua upo au haupo.

Enzi za Magu ,Polepole ungembwambia kuna utekaji angekataa.

Polepole kataka kutekwa mwenyewe kwa kupotosha Jamii kudanganya Jamii

Dk Slaa na orodha ya MAFISADI mbona yupo mtaani unajua kwanini

Dk Slaa kaongea hadharani mchana kweupe na kasema mwenyewe kubisha atangulie Mahakamani tutakutana uko💪

Nani kaenda Mahakamani???

Polepole kajua yeye ni muongo ndiomana katumia njia ya
kujificha

Mwisho tunasikia katekwa!!!

Polepole alikuwa muoga upande mmoja upande mwingine
anajiamini ❗️

Ukitaka kusema kweli tuchukue mfano mzuri wa Mzee wetu Dk Slaa jiamini kwanza!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…