Godfrey Nyange Kaburu kabla ya Kuchukua Fomu ya Uongozi Simba SC umewaomba Radhi wana Simba SC?

Acha majungu wewe! Geofrey Nyange Kaburu ana mchango mkubwa sana kwenye klabu ya simba, kuliko wewe ambaye kazi yako kubwa humu jukwaani ni kulia lia tu na kutukana watu hovyo; kupitia ID zako fake.
Mchango upi huo

Huyu si ndio alimuuza amis tambwe kwenda yanga tena tambwe akimaliza msimu kwa kuwa mfungaji bora ligi kuu na kubeba kiatu...yeye akadai jamaa kashazeeka
 
Iwe isiwe lazima Sisi makolo tusimame na kaburu kwa maendeleo mapana ya kikundi chetu cha makolo ambao tunapenda sana ushirikina
Mkasimame nae nyie mliokatikiwa na mwiko wa 62 dhidi ya ihefu
Sisi hatumtaki
 
Kama kuna Mtu hapa JamiiForums ana Urafiki na Godfrey Nyange Kaburu amuambie upesi kuwa MINOCYCLINE namuonya aachane na Mpango huo kwani nitamuanika na kuyaanika Mabaya yake aliyowafanyia wana Simba SC Kipindi chake.

Wewe ni Adui Mkubwa wa Simba SC.
Kama huwezi andika mabaya yake, basi ungemwambia yeye mwenyewe straight
 
Daah hawa Watani viongozi wao ni wale wale miaka nenda miaka rudi...
 
Acha majungu wewe! Geofrey Nyange Kaburu ana mchango mkubwa sana kwenye klabu ya simba, kuliko wewe ambaye kazi yako kubwa humu jukwaani ni kulia lia tu na kutukana watu hovyo; kupitia ID zako fake.
Amepona sikio na kidole baada ya kushikwa ugoni na muuza chips dume kawe?
 
Haaaaaaa haaaaaaaaaaa Ngada FC.
 
Kiko wapi sasa?? Nasikia jina la Kaburu limekatwa
 
Leo nimeamini yanayosemwa kuhusu ID hii, asante Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…