Mrs Byesige
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 2,025
- 3,969
Toka lini makundi ccm yakaisha?
Wakimuonea huruma Sana Sana wataishia kumfukuza uanachama, wait and seeHuyu aandike urithi mapema, wanaenda kumpoteza kama Ole Mushi
Mbowe hakuchafuliwa bali aliambiwa ukweliChadema ina makundi na ndio maana watu wa mh.Mbowe wamemsusa Tundu Lissu kwa sababu ya kuchafuliwa.....
Hakuna siasa isiyo na makundi ,kubwa ni kuwa CCM inaweza kuzuia athari hasi za hayo makundi jambo ambalo vyama vingine HAVIWEZI.....
Kumbe kusema kweli ni Risk kubwa 😳 !Kada Godfrey Sitta wa CCM kutoka Wilaya ya Meatu, ajitokeza hadharani kufichua yaliyojificha ndani ya Chama kuelekea uchaguzi mkuu 2025.
Mimi ni CCM, lakini kwa hapa tulipofikia nipo tayari kufa kwa kusema ukweli. Kada wa CCM afichua madudu yaliyojificha ndani ya chama.
What goes around comes around !Watakumaliza kweli.. Mwaka huu mtamalizana sana
Wanamimyana sana huko ndaniKada Godfrey Sitta wa CCM kutoka Wilaya ya Meatu, ajitokeza hadharani kufichua yaliyojificha ndani ya Chama kuelekea uchaguzi mkuu 2025.
Mimi ni CCM, lakini kwa hapa tulipofikia nipo tayari kufa kwa kusema ukweli. Kada wa CCM afichua madudu yaliyojificha ndani ya chama.
Mnara wa Babeli !Wanamimyana sana huko ndani