Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pangani je
- Kidatu inazalisha 204 MW
- Kihansi 180 MW
- Mtera 80 MW
- Hale (Tanga) 68 MW
- Rusumo 80 MW
- Julius Nyerere 2,115 MW
- Nyumba ya Mungu 8 MW
Kwa hiyo principles za ugavi wa umeme na uchumi ni unique kwa Tz tu? If X doesn't work in country A why would X work just fine in country B? Help us understand thisBy Malisa GJ,
Kwanza, ieleweke kuwa hili si jambo geni. Hii si mara ya kwanza kununua umeme nje ya nchi. Tunanunua umeme kutoka Zambia kwa ajili ya mkoa wa Rukwa, kutoka Uganda kwa ajili ya mkoa wa Kagera, na kutoka Kenya kwa ajili ya wilaya ya Mkinga, Tanga.
Pili, watanzania tunahoji kwanini tununue umeme nje wakati tuliambiwa bwawa la Nyerere likikamilika tutakuwa na umeme wa kutosha na tutaweza kuuza nje. Je, tulidanganywa?
Ili kujibu swali hilo ni muhimu kujua hali ya uzalishaji wa umeme nchini na vyanzo vyake. Vyanzo vya umeme wa maji (hydroelectric power plants) tulivyonavyo vina uwezo ufuatao:
- Kidatu inazalisha 204 MW
- Kihansi 180 MW
- Mtera 80 MW
- Hale (Tanga) 68 MW
- Rusumo 80 MW
- Julius Nyerere 2,115 MW
- Nyumba ya Mungu 8 MW
Kwa hiyo, kupitia vyanzo vya maji tuna uwezo wa kuzalisha 2,735 MW. Mahitaji ya umeme nchini yanakadiriwa kuwa 2,200 MW. Hii ina maana kwamba tuna ziada ya karibu 500 MW ambazo tunaweza kuuza nje. Kwa hiyo hatujadanganywa. Umeme wa kuuza nje upo.
Sasa, kwanini tununue umeme nje wakati ndani tuna ziada? Jibu ni kwamba usafirishaji wa umeme unasababisha upotevu njiani. Kusafirisha umeme si sawa na kusafirisha mbaazi. Ukitoa mbaazi Moshi zikiwa 50Kgs, zikifika Dar zitakua hizohizo 50Kgs. Lakini kwa Umeme ni tofauti. Kadri unavyosafirisha umbali mrefu, ndivyo unavyopotea.
Je, kati ya Ethiopia na bwawa la Mwalimu Nyerere, wapi mbali? Kama tunahofia umeme ukisafirishwa kutoka bwawa la Nyerere hadi Arusha utapotea, je unaotoka Ethiopia si utapotea zaidi?
Jibu ni kwamba Tanzania haitahusika na usafirishaji wa umeme huo kutoka Ethiopia. Sisi tutahusika baada ya kuupokea Namanga. Kwa hiyo, kama ni usafirishaji, sisi tutaanzia Namanga kwenda Arusha. Kwahiyo pale Namanga tukipokea 100MWs tutazifikisha Arusha bila kupotea maana ni karibu.
Kwa lugha rahisi, ni sawa na kuwa na chanzo kipya cha umeme Namanga. Kwa hiyo ni ukweli kwamba kusafirisha umeme kutoka Namanga kwenda Arusha hakutakuwa na upotevu mkubwa njiani kama kusafirisha umeme kutoka bwawa la Nyerere kwenda Arusha. Hii ni logic ya kawaida ambayo hata mtoto mdogo anaelewa.
Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
Ili tuweze kusafirisha umeme kutoka bwawa la Nyerere au Mtera hadi Arusha bila kupotea sana, inabidi tujenge vituo vya kupoozea njiani (substations) kama ile ya Lemuguru iliyopo Mateves Arusha, ambayo ilianza kujengwa 2019 imekamilika 2024 (miaka mitano) kwa gharama ya karibu bilioni 20. Kwa hiyo kuna suala la muda na gharama.
Je, umeme wa ziada unaozalishwa Tanzania utaenda wapi? Jibu ni kwamba Utauzwa nje ya nchi. Tayari Tanzania imesaini hati ya makubaliano (MoU) na Zambia na Rwanda kuziuzia umeme.
Je, kusafirisha umeme kwenda nchi hizo hakutafanya upotee njiani? Jibu ni kwamba umeme huo utauzwa kutoka vyanzo vya karibu, hivyo hakutakuwa na upotevu mkubwa. Kwa mfano, Rwanda watauziwa umeme kutoka Rusumo na Zambia watapokea umeme kutoka Kihansi ambapo upotevu hauwezi kuwa mkubwa kama kuutoa umeme Kihansi kwenda Arusha au Rusumo kwenda Arusha.
Utaratibu wa kuuziana umeme baina ya nchi na nchi sio jambo geni. Nchi za Afrika Mashariki zimeanzisha Eastern Africa Power Pool (EAPP) ili kuratibu biashara ya umeme na uunganishaji wa gridi kati ya nchi hizo.
Nchi za Ulaya wanayo European Network of Transmission System Operators for Electricity (ENTSO-E) ambayo inaunganisha nchi 35 za Ulaya. Kupitia ENTSO-E nchi inaweza kuuza na kununua umeme kutoka nchi jirani. Kwa mfano, Ujerumani inanunua umeme kutoka Ufaransa, Denmark, na Norway jumla ya 30,000 MW. Lakini Ujerumani hiyohiyo inauza umeme kwa Ufaransa, Austria, na Uholanzi ambao ni 60,000 MW.
Unaweza kujiuliza, kama Ujerumani inaweza kuzalisha umeme na kuuza nje ya nchi, kwanini tena inunue? Jibu ni kwamba inapunguza upotevu wa kusafirisha umeme kwa umbali mrefu ndani ya nchi. Kuliko kutoa umeme Munich na kuusafirisha hadi Humburg (kilomita karibu 800) ni bora wakanunua umeme Dernmark wakapeleka Humburg, halafu ule wanaozalisha Munich ukatumika miji ya jirani na mwingine wakauzia Austria.
Na Tanzania ndicho tulichofanya. Kuliko kutoa umeme Rusumo kuupeleka Kyela, ni bora ule wa Rusumo utumike Kigoma, Kagera, na Geita, halafu unaobaki tuwauzie Rwanda na Burundi. Halafu tununue umeme kutoka Malawi tupeleke Kyela. Tukifanya hivyo tutakua tumeokoa gharama za usafirishaji na upotevu wa umeme njiani.!
Chako ni chakoKwa lugha rahisi, ni sawa na kuwa na chanzo kipya cha umeme Namanga. Kwa hiyo ni ukweli kwamba kusafirisha umeme kutoka Namanga kwenda Arusha hakutakuwa na upotevu mkubwa njiani kama kusafirisha umeme kutoka bwawa la Nyerere kwenda Arusha. Hii ni logic ya kawaida ambayo hata mtoto mdogo anaelewa.
Hapa huyu anatetea kitu kinachoenda kanda yao, ingekuwa kinaenda kanda tofauti angekuja na all sort of analysis kuonesha mradi wa kununua nje haufai. Nilishangaa sana kipindi cha nyuma kila miradi ilikuwa inapopolewa ati ni maendeleo ya vitu na si ya watu. Ila daraja la mto wami ule mradi haukupopolewa, guess why?Ukisoma paragraph mbili za mwanzo tu ukakimbilia ku comment waweza kumuita Malisa majina yote ya ajabu.., chawa, kanunuliwa etc, lakini ukisoma mpaka mwisho utaishia kumpa like, tatizo ufafanuzi wa serikali haupo kitaalam. Na mtu wa kwanza kutangazia taifa kuhusu hili pengine naye hana uelewa wa haya yaliyopo kwenye hii thread... Ila poa tu, twende hivyohivyo.
Nimekuelewa vizuri mkuu, huwa wana asili ya u selfish..Hapa huyu anatetea kitu kinachoenda kanda yao, ingekuwa kinaenda kanda tofauti angekuja na all sort of analysis kuonesha mradi wa kununua nje haufai. Nilishangaa sana kipindi cha nyuma kila miradi ilikuwa inapopolewa ati ni maendeleo ya vitu na si ya watu. Ila daraja la mto wami ule mradi haukupopolewa, guess why?
Tuache siasa pembeni, hili suala linajulikana toka tulipoanza hii miradi ya kuzalisha umeme na usafirishaji wake, na hivyo hivyo nategemea vituo vya kupozea umeme vilishapangwa. Sasa ni vizuri tukafuata Mipango mikakati yetu hata kama itachuku muda lakini ndo Hali yetuBy Malisa GJ,
Kwanza, ieleweke kuwa hili si jambo geni. Hii si mara ya kwanza kununua umeme nje ya nchi. Tunanunua umeme kutoka Zambia kwa ajili ya mkoa wa Rukwa, kutoka Uganda kwa ajili ya mkoa wa Kagera, na kutoka Kenya kwa ajili ya wilaya ya Mkinga, Tanga.
Pili, watanzania tunahoji kwanini tununue umeme nje wakati tuliambiwa bwawa la Nyerere likikamilika tutakuwa na umeme wa kutosha na tutaweza kuuza nje. Je, tulidanganywa?
Ili kujibu swali hilo ni muhimu kujua hali ya uzalishaji wa umeme nchini na vyanzo vyake. Vyanzo vya umeme wa maji (hydroelectric power plants) tulivyonavyo vina uwezo ufuatao:
- Kidatu inazalisha 204 MW
- Kihansi 180 MW
- Mtera 80 MW
- Hale (Tanga) 68 MW
- Rusumo 80 MW
- Julius Nyerere 2,115 MW
- Nyumba ya Mungu 8 MW
Kwa hiyo, kupitia vyanzo vya maji tuna uwezo wa kuzalisha 2,735 MW. Mahitaji ya umeme nchini yanakadiriwa kuwa 2,200 MW. Hii ina maana kwamba tuna ziada ya karibu 500 MW ambazo tunaweza kuuza nje. Kwa hiyo hatujadanganywa. Umeme wa kuuza nje upo.
Sasa, kwanini tununue umeme nje wakati ndani tuna ziada? Jibu ni kwamba usafirishaji wa umeme unasababisha upotevu njiani. Kusafirisha umeme si sawa na kusafirisha mbaazi. Ukitoa mbaazi Moshi zikiwa 50Kgs, zikifika Dar zitakua hizohizo 50Kgs. Lakini kwa Umeme ni tofauti. Kadri unavyosafirisha umbali mrefu, ndivyo unavyopotea.
Je, kati ya Ethiopia na bwawa la Mwalimu Nyerere, wapi mbali? Kama tunahofia umeme ukisafirishwa kutoka bwawa la Nyerere hadi Arusha utapotea, je unaotoka Ethiopia si utapotea zaidi?
Jibu ni kwamba Tanzania haitahusika na usafirishaji wa umeme huo kutoka Ethiopia. Sisi tutahusika baada ya kuupokea Namanga. Kwa hiyo, kama ni usafirishaji, sisi tutaanzia Namanga kwenda Arusha. Kwahiyo pale Namanga tukipokea 100MWs tutazifikisha Arusha bila kupotea maana ni karibu.
Kwa lugha rahisi, ni sawa na kuwa na chanzo kipya cha umeme Namanga. Kwa hiyo ni ukweli kwamba kusafirisha umeme kutoka Namanga kwenda Arusha hakutakuwa na upotevu mkubwa njiani kama kusafirisha umeme kutoka bwawa la Nyerere kwenda Arusha. Hii ni logic ya kawaida ambayo hata mtoto mdogo anaelewa.
Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
Ili tuweze kusafirisha umeme kutoka bwawa la Nyerere au Mtera hadi Arusha bila kupotea sana, inabidi tujenge vituo vya kupoozea njiani (substations) kama ile ya Lemuguru iliyopo Mateves Arusha, ambayo ilianza kujengwa 2019 imekamilika 2024 (miaka mitano) kwa gharama ya karibu bilioni 20. Kwa hiyo kuna suala la muda na gharama.
Je, umeme wa ziada unaozalishwa Tanzania utaenda wapi? Jibu ni kwamba Utauzwa nje ya nchi. Tayari Tanzania imesaini hati ya makubaliano (MoU) na Zambia na Rwanda kuziuzia umeme.
Je, kusafirisha umeme kwenda nchi hizo hakutafanya upotee njiani? Jibu ni kwamba umeme huo utauzwa kutoka vyanzo vya karibu, hivyo hakutakuwa na upotevu mkubwa. Kwa mfano, Rwanda watauziwa umeme kutoka Rusumo na Zambia watapokea umeme kutoka Kihansi ambapo upotevu hauwezi kuwa mkubwa kama kuutoa umeme Kihansi kwenda Arusha au Rusumo kwenda Arusha.
Utaratibu wa kuuziana umeme baina ya nchi na nchi sio jambo geni. Nchi za Afrika Mashariki zimeanzisha Eastern Africa Power Pool (EAPP) ili kuratibu biashara ya umeme na uunganishaji wa gridi kati ya nchi hizo.
Nchi za Ulaya wanayo European Network of Transmission System Operators for Electricity (ENTSO-E) ambayo inaunganisha nchi 35 za Ulaya. Kupitia ENTSO-E nchi inaweza kuuza na kununua umeme kutoka nchi jirani. Kwa mfano, Ujerumani inanunua umeme kutoka Ufaransa, Denmark, na Norway jumla ya 30,000 MW. Lakini Ujerumani hiyohiyo inauza umeme kwa Ufaransa, Austria, na Uholanzi ambao ni 60,000 MW.
Unaweza kujiuliza, kama Ujerumani inaweza kuzalisha umeme na kuuza nje ya nchi, kwanini tena inunue? Jibu ni kwamba inapunguza upotevu wa kusafirisha umeme kwa umbali mrefu ndani ya nchi. Kuliko kutoa umeme Munich na kuusafirisha hadi Humburg (kilomita karibu 800) ni bora wakanunua umeme Dernmark wakapeleka Humburg, halafu ule wanaozalisha Munich ukatumika miji ya jirani na mwingine wakauzia Austria.
Na Tanzania ndicho tulichofanya. Kuliko kutoa umeme Rusumo kuupeleka Kyela, ni bora ule wa Rusumo utumike Kigoma, Kagera, na Geita, halafu unaobaki tuwauzie Rwanda na Burundi. Halafu tununue umeme kutoka Malawi tupeleke Kyela. Tukifanya hivyo tutakua tumeokoa gharama za usafirishaji na upotevu wa umeme njiani.!
Sahv kuna mkakati nchi za africa wanataka ku link umeme pamojaChako ni chako
Bora tugharamie umeme wetu kuliko kutegemea kwa jirani, je ikatokea Misri wakaipiga Ethiopia mikoa ya KAT tutaponea wapi
Portential customer ni huyo dogo hapo ng'ambo aliyesema anaweza kurejea kwenye vibatari aliposhindwa kulipa billsJe ili sisi tuuze tutalazimika kuusafirisha kutoka Rufiji mpaka Mpakani? Je wa kwetu tukisafirisha mpaka mpakani hautapotea?
Ili tuweze kusafirisha umeme kutoka bwawa la Nyerere au Mtera hadi Arusha bila kupotea sana, inabidi tujenge vituo vya kupoozea njiani (substations) kama ile ya Lemuguru iliyopo Mateves Arusha, ambayo ilianza kujengwa 2019 imekamilika 2024 (miaka mitano) kwa gharama ya karibu bilioni 20. Kwa hiyo kuna suala la muda na gharama.
Upo vizuri mkuu akikujib nitagPINGAMIZI DHIDI YA HOJA YA MALISA KUHUSU UAMUZI WA TANZANIA KUHEMEA UMEME UGHAIBUNI
View attachment 3269288
Waziri Mkuu Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko
Katika pingamizi hili napendekeza kuwa uamuzi wa serikali ya Tanzania kuhemea umeme kutoka ughaibuni ni ushahidi kwamba serikali haikutekeleza wajibu wake ipasavyo kadiri jukumu la kuzalisha na kusambaza umeme kwa kutumia tekinolojia ya kisasa linavyohusika.
Kimsingi, maelezo ya Malisa kuhusu nishati ya umeme yamenikumbusha Mwalimu wangu wa Fizikia, Dr. Kiwanga, Idara ya Fizikia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Alinifundisha Kanuni ya Ohm kuhusu usafirishaji wa umeme, yaani Ohms Law. Kanuni hii inasema kwamba:
(1) V=IR;
(2) R=(r*L)/A;
(3) I=(V/R) kutokana na (1);
(4) P=I*I*R;
(5) P= (I*I*r*L)/A;
(6) P=(V*V)/R kutokana na (3) na (4);
(7) P=(V*V*A)/(r*L) kutpkana na (2) na (6).
Ambapo:
Kimantiki, kuna mahitimisho mawili kutokana na formula hizi.
- V=Volti/Voltage
- I=Mkondo wa umeme/Current
- R=Ukinzani/Resistance
- P=Nishati ya joto inayozalishwa na umeme mkondoni/Dissipated Power
- r=Kiini-ukinzani/Resisitivity
- A=Eneo mkingamo katika waya wa umeme/cross-sectional area
Mosi, kutokana na formula namba (5) ni wazi kwamba, kadiri umbali wa kusafirisha umeme unavyoongezeka nguvu yake inapungua.
Yaani, “dissipated power is directly proportional to distance and current.”
Hii maana yake ni kwamba, ili tuweze kusafirisha “umeme wa mkondo-geu” kutoka bwawa la Nyerere au Mtera hadi Arusha bila kupotea sana, inabidi kujenga, sio vituo vya kupozea umeme wa kondo-geu njiani (step-down transformer substations) kama Malisa anavyodai kimakosa, bali tunapaswa kujenga vituo vya kukuzia umeme (step-up transformer substations).
Na pili, kutokana na formula namba (7) ni wazi kwamba, kadiri umbali wa kusafirisha umeme unavyoongezeka nguvu yake inaongezeka.
Yaani, “dissipated power is directly proportional to voltage and inversely proportional to distance.”
Fomua hii inahusiana na tekinolojia ya kusafirisha umeme wa mkondo-mnyoofu ambao hauna uhusiano wowote na transfoma-pozo wala transfoma-chocheo.
Tekinolojia hii inaitw “High Voltage Direct Current (HVDC) Transmission Lines.”
Malisa hajaongelea kitu kuhusu mkono huu wa mjadala kwa makusudi, maana unafichua uzembe wa serikali.
Tanzania inahitaji kuwekeza zaidi katika tekinolojia ya HVDC.
Ukweli ni kwamba HDVC za masafa marefu zinaweza kupunguza upotevu wa umeme kwa sababu kadiri umbali unavyoongezeka upotevu wa umeme unapungua kwa mujibu wa fomula namba (7) hapo juu.
Kwa hiyo, uamuzi wa Tanzania kuhemea umeme kutoka ughaibuni ni Ushahidi kwamba Wizara ya Nishati haikutekeleza wajibu wake ipasavyo.
Na mpaka hapo hakuna "ufafanuzi wa ufafanuzi" utakaoweza kunibadilisha mawazo isipokuwa maelezo ya kwanini serikali ilipuuzia tekinolojia ya HDVC.
Na ninamwomba Mlisa ajitokeze na kujibu pingamizi langu.
Risk management basi , unapiga maths zako unaona ni wapi una incur losses kidogo basi unabeti hapo hapo.By Malisa GJ,