Majambazi wanawateka sana CCM na kuwauaCHADEMA wote ni MAJAMBAZI.......
Just imagine watu wooote walikufa au kuuwawa wakipambania chama kumbe ni SACCOS.....
INAKERA SAASNA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majambazi wanawateka sana CCM na kuwauaCHADEMA wote ni MAJAMBAZI.......
Just imagine watu wooote walikufa au kuuwawa wakipambania chama kumbe ni SACCOS.....
INAKERA SAASNA
Huyo juha kuwahi kutokea katika CHADEMAYericko Nyerere umesikia G. Malisa??
Raha sana kumuona juha mzeekibaraka wa mabwenyenye ya magharibi aenguliwe mapema kabla ya uchaguzi na itapendeza zaidi![]()
Yupi na tusi gani alilotukanwa huyo kiongozi wa chama kingine?Ila ruksa kutukana wagombea wa vyama vingine kwenye chaguzi.
CDM haitenganishiki na hayo matusi na lugha za kuudhi kwa wanaotofautiana nao.
Watukanaji ndiyo mashujaa huko ndiyo makamanda haswa!
The "chickens" are coming home to roost!
MboweLissu
Mnafiki huyu yeye mwenyewe bingwa wa kutukanaWakuu,
Mwanaharakati wa haki za kijamii na kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godlisten Malisa siku ya leo Jumapili Januari 12, 2025.amezungumza katika mkutano wa wanahabari uliofanyika mkoani Dar es Salaam
Malissa amezungumza mambo mengi kuhusu CHADEMA ikiwemo na uwepo wa wapambe ndani ya chama hicho akisema
"Tumekuwa na wapambe wa wagombea ambao wamekosa nidhamu kwa chama (CHADEMA) na wagombea ambao hawawaungi mkono, sasa kwa mujibu wa mwongozo wa taratibu za kuendesha uchaguzi ndani ya chama toleo la mwaka 2012 kifungu cha 2 (3) kinasema 'itakuwa ni marufuku kwa mgombea ama wapambe wake kusambaza taarifa zenye lengo la kukashifu mgombea au kiongozi wa chama'.
Ameongeza kwa kusema:
"Sasa pamoja na zuio hilo, tumeshuhudia uwepo wa maneno makali, ya kashfa, matusi ambayo yamekuwa yakitolewa kwa pande zote ambazo zinashiriki katika huu uchaguzi, na isivyo bahati ni kwamba yapo maneno ambayo mengine hayana staha yametumika kwa viongozi wetu na hapa sizungumzii upande mmoja"
"Tumeshuhudia baadhi ya watu wanajiita wanachama na ni wapambe wa wagombea wakitumia maneno kama fulani ni mropokaji, amehongwa, dalali, mbeba mikoba. Sasa hatuwezi kuwa na chama cha siasa watu wanatumia maneno na lugha zisizofaa katika kutafuta kura. Mimi binafsi siamini kuwa kudhalilisha upande mmoja kunakusaidia kupata kura za upande wa pili"
Source: Jambo TV, Habari Mpya
Gentleman,Unaota ndoto za mchana,jiangalie utajikojolea

Gentleman,ANAANDIKA Mh LISSU
Maria Sarungi-Tsehai, one of Tanzania's foremost and fearless critics of the Samia regime and a dearest friend has been snatched by three unidentified gunmen in the vicinity of Yaya Centre in the Kenyan capital of Nairobi.
A strident opponent of the Magufuli dictatorship, Maria had fled to exile in Kenya since just before the fraudulent 2020 general elections and had been running Chanzo TV, a pro-democracy online platform.
While we hope and pray for Maria's life and safety, we must call upon the Kenyan government and all people of goodwill from around the world to intervene in whatever capacity they can to help secure Maria's safe return to her family.
And we must tell whoever is behind Maria's abduction and disappearance that no amount of terror and violence or intimidation will silence us. That many many more Marias will step forward to take up her fight for democracy and decency in Tanzania.

mkurupukaji tuliza unyumbu bas gentleman,Raha sana kumuona juha mzee

CCM watakuwa wanammezea mate. Cc Lucas MwashambwaFact .
Huyu Kijana yupo smart Sana ghorofani .
Usinilishe maneno tafadhaliGentleman,
kwahiyo kwa mujibu wa hayo maelezo ya kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, huyo mkosoaji na mvurugaji wa za familia za watu huko nairobi, ametwkwa na samia au magufuli?![]()
GENTLEMAN,Usinilishe maneno tafadhali

Sijui utaponea wapi ukichaa wa uzeeni, duh!!mkurupukaji tuliza unyumbu bas gentleman,
mdada mvuruga familia za watu amepotea ujue kimasikhara hivi hivi tu![]()
Lazima chama kisiwe cha kikabila na kikanda.Wakuu,
Mwanaharakati wa haki za kijamii na kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godlisten Malisa siku ya leo Jumapili Januari 12, 2025.amezungumza katika mkutano wa wanahabari uliofanyika mkoani Dar es Salaam
Malissa amezungumza mambo mengi kuhusu CHADEMA ikiwemo na uwepo wa wapambe ndani ya chama hicho akisema
"Tumekuwa na wapambe wa wagombea ambao wamekosa nidhamu kwa chama (CHADEMA) na wagombea ambao hawawaungi mkono, sasa kwa mujibu wa mwongozo wa taratibu za kuendesha uchaguzi ndani ya chama toleo la mwaka 2012 kifungu cha 2 (3) kinasema 'itakuwa ni marufuku kwa mgombea ama wapambe wake kusambaza taarifa zenye lengo la kukashifu mgombea au kiongozi wa chama'.
Ameongeza kwa kusema:
"Sasa pamoja na zuio hilo, tumeshuhudia uwepo wa maneno makali, ya kashfa, matusi ambayo yamekuwa yakitolewa kwa pande zote ambazo zinashiriki katika huu uchaguzi, na isivyo bahati ni kwamba yapo maneno ambayo mengine hayana staha yametumika kwa viongozi wetu na hapa sizungumzii upande mmoja"
"Tumeshuhudia baadhi ya watu wanajiita wanachama na ni wapambe wa wagombea wakitumia maneno kama fulani ni mropokaji, amehongwa, dalali, mbeba mikoba. Sasa hatuwezi kuwa na chama cha siasa watu wanatumia maneno na lugha zisizofaa katika kutafuta kura. Mimi binafsi siamini kuwa kudhalilisha upande mmoja kunakusaidia kupata kura za upande wa pili"
Source: Jambo TV, Habari Mpya
Mama Abdul and co kama walivyomfanyia Ali KibaoANAANDIKA Mh LISSU