Pre GE2025 Godlisten Malissa wa CHADEMA: Hatuwezi kuwa na chama cha watu wanaotukana na wadhalilishaji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ila ruksa kutukana wagombea wa vyama vingine kwenye chaguzi.

CDM haitenganishiki na hayo matusi na lugha za kuudhi kwa wanaotofautiana nao.

Watukanaji ndiyo mashujaa huko ndiyo makamanda haswa!

The "chickens" are coming home to roost!
Yupi na tusi gani alilotukanwa huyo kiongozi wa chama kingine?
 
ANAANDIKA Mh LISSU

Maria Sarungi-Tsehai, one of Tanzania's foremost and fearless critics of the Samia regime and a dearest friend has been snatched by three unidentified gunmen in the vicinity of Yaya Centre in the Kenyan capital of Nairobi.

A strident opponent of the Magufuli dictatorship, Maria had fled to exile in Kenya since just before the fraudulent 2020 general elections and had been running Chanzo TV, a pro-democracy online platform.

While we hope and pray for Maria's life and safety, we must call upon the Kenyan government and all people of goodwill from around the world to intervene in whatever capacity they can to help secure Maria's safe return to her family.

And we must tell whoever is behind Maria's abduction and disappearance that no amount of terror and violence or intimidation will silence us. That many many more Marias will step forward to take up her fight for democracy and decency in Tanzania.
 
Mnafiki huyu yeye mwenyewe bingwa wa kutukana
 
Unaota ndoto za mchana,jiangalie utajikojolea
Gentleman,
kwahiyo kwa maoni yako kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na mtetezi wa ufirauni ndie achaguliwe kua kiongozi wa chadema right?
 
Hili nalo lili itaji press ? Angeandika kule X akaeleweka
 
Gentleman,
kwahiyo kwa mujibu wa hayo maelezo ya kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, huyo mkosoaji na mvurugaji wa za familia za watu huko nairobi, ametwkwa na samia au magufuli?
 
Gentleman,
kwahiyo kwa mujibu wa hayo maelezo ya kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, huyo mkosoaji na mvurugaji wa za familia za watu huko nairobi, ametwkwa na samia au magufuli?
Usinilishe maneno tafadhali
 
Lazima chama kisiwe cha kikabila na kikanda.
Mabadiriko ni lazima
 
Mama Abdul and co kama walivyomfanyia Ali Kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…