Old - Hand
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 2,042
- 1,917
Shida ni kujua godoro sahihi au unapigwa.... Nilinunua qfl mwaka wa pili tu linabonyea vibaya mno hadi mgongo unauma... Na lina warrant kila kitu ila sasa kulibeba kupeleka uliponunua ukagombane ndio utoto