Old - Hand
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 2,042
- 1,917
Pole sanaa. Karibu TanfoamShida ni kujua godoro sahihi au unapigwa.... Nilinunua qfl mwaka wa pili tu linabonyea vibaya mno hadi mgongo unauma... Na lina warrant kila kitu ila sasa kulibeba kupeleka uliponunua ukagombane ndio utoto
Nilinunua Kama hilo mwaka juzi mpaka leo halibonyeiNimechukua Tanfoam 6,×6,=450,000 tatizo halibonyei ni gumu linaumiza mgongo kuna jamaa kanishauri halina shida litabonyea baada ya miezi kadhaa mwingine kanishauri nikachukue Qfl dodoma kuwa ni laini.
Hayo ndio nayapenda Mimi Yale kubonyea yanaumizaNilinunua Kama hilo mwaka juzi mpaka leo halibonyei
Huko kutobonyea ndio tatizo langu mimi kwa maana ya kuumiza mgongo sijui kwa wengine.Nilinunua Kama hilo mwaka juzi mpaka leo halibonyei
Karibu Tanfoam , mimi ni supplierNimechukua Tanfoam 6,×6,=450,000 tatizo halibonyei ni gumu linaumiza mgongo kuna jamaa kanishauri halina shida litabonyea baada ya miezi kadhaa mwingine kanishauri nikachukue Qfl dodoma kuwa ni laini.
Mtaalam, nimeulizia TANFOAM HQ, nakuambiwa kuwa wanatengeneza yenye desnity ya 24 na 32 tu. Na haya ya 32 ni special kwa wagonjwa wa migongo. Hoja yangu ni kwamba, wewe ulishaona yenye density ya 28?Tannfoam na arusha!
Kwa hela hiyo hakikisha lina density ya 28 chin ya hapo utaliwa hela! mengi yana density ya 23
waambie ya density ya 28