Godoro la Goldson vip lina ubora kwa mliotumia au vipi

Godoro la Goldson vip lina ubora kwa mliotumia au vipi

Kumfumaster97

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2024
Posts
1,326
Reaction score
1,451
Habari wakuu napata utata kidogo kuhusu godoro imaraa naombeni ushauri godoro la godson lipo imara kweli au nitakuwa nimepigwa nikichukua maana nawaz nichukue godson au QFL dodoma


Naombeni mrejesho
 
Chukua Besti ukikosa chukua QFL.
Pia zingatia, unapochagua godoro usichague godoro gumu.
Hakikisha godoro ukiminya inaminyika kwa nguvu kidogo, ukiiachia inarudi kwenye nafasi yake taratibu, sio kwa haraka. 😊
Nina option mbili hapa kati ya Breeze na Goldson ipi niichukue mkuu
 
Back
Top Bottom