Kumfumaster97
JF-Expert Member
- Sep 18, 2024
- 1,326
- 1,451
Nina option mbili hapa kati ya Breeze na Goldson ipi niichukue mkuuChukua Besti ukikosa chukua QFL.
Pia zingatia, unapochagua godoro usichague godoro gumu.
Hakikisha godoro ukiminya inaminyika kwa nguvu kidogo, ukiiachia inarudi kwenye nafasi yake taratibu, sio kwa haraka. 😊
Tanfoam bei ni 🔥🔥🔥Kiboko ni Tanform
Nina option mbili hapa kati ya Breeze na Goldson ipi niichukue mkuu
Jitahidi mkuu,Tanfoam bei ni 🔥🔥🔥
Bei yake inacheza kuanzia ngapi?Jitahidi mkuu,
Mimi Nina Tanform ni mkataba kila siku naona kama jipya jitahidi sana upate chukua hata Tano kwa sita hata Nchi nane..
380kBei yake inacheza kuanzia ngapi?
🫡ngoja nijikaze nichukue380k