Godown langu jirani kaziba njia yakuingilia,je nilifanyie biashara Gani ya uzalishaji mdogo

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Nifanye biashara Gani kwa hili godwn langu ambalo mlango mkuu wakuingil a jorani amejenga ukuta ambao siwezi kuingiza gari kubwa na hata bajaji,nipeni mawazo nilifanyie biashara Gani ambayo haitaruhusu gari kubwa na ndogo zamizigo kuingia
Au nifungue kiwanda Gani kidogo
 
1. Plan yako ya Kwanza iliyokufanya kujenga Godwn endelea nayo.
Cha kufanya ni kuKaa chini na Nunua hiyo nafas/njia kwa jiran yako.

2. Fanya store ya kuhifadhia mizigo ya watu au nafaka.

By the way iko wap hiyo godwn na ina ukubwa gan?
 
Njia haizibwi unless wewe ndio uliyefanya makosa kujenga njiani na kaziba njia
Mwandishi ni tatizo na ndio maana kukimbilia kuomba ushauri wa kitu cha kufanya na sio afanyaje apate njia
 
Tenganisha Vizuri Fuga Kuku Wakienyeji,Bata Na Nguruwe
 
1. Plan yako ya Kwanza iliyokufanya kujenga Godwn endelea nayo.
Cha kufanya ni kuKaa chini na Nunua hiyo nafas/njia kwa jiran yako.

2. Fanya store ya kuhifadhia mizigo ya watu au nafaka.

By the way iko wap hiyo godwn na ina ukubwa gan?
Mkuu njia yakuingiza gari ya mzigo kaziba kwaiyo kufanya kuwa stoo ya watu haiwezekani watatembea umbali mrefu
 
Nifanye biashara Gani kwa hili godwn langu ambalo mlango mkuu wakuingil a jorani amejenga ukuta ambao siwezi kuingiza gari kubwa na hata bajaji,nipeni mawazo nilifanyie biashara Gani ambayo haitaruhusu gari kubwa na ndogo zamizigo kuingia
Au nifungue kiwanda Gani kidogo
Fungua kanisa
 
Mwenzako alipozibiwa njia alitengeneza daraja likapita juu ya nyumba ya mzibaji, halikugusa kiwanja cha jirani.
 
Back
Top Bottom