malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Nifanye biashara Gani kwa hili godwn langu ambalo mlango mkuu wakuingil a jorani amejenga ukuta ambao siwezi kuingiza gari kubwa na hata bajaji,nipeni mawazo nilifanyie biashara Gani ambayo haitaruhusu gari kubwa na ndogo zamizigo kuingia
Au nifungue kiwanda Gani kidogo
Mwandishi ni tatizo na ndio maana kukimbilia kuomba ushauri wa kitu cha kufanya na sio afanyaje apate njiaNjia haizibwi unless wewe ndio uliyefanya makosa kujenga njiani na kaziba njia
Mkuu njia yakuingiza gari ya mzigo kaziba kwaiyo kufanya kuwa stoo ya watu haiwezekani watatembea umbali mrefu1. Plan yako ya Kwanza iliyokufanya kujenga Godwn endelea nayo.
Cha kufanya ni kuKaa chini na Nunua hiyo nafas/njia kwa jiran yako.
2. Fanya store ya kuhifadhia mizigo ya watu au nafaka.
By the way iko wap hiyo godwn na ina ukubwa gan?
Fungua kanisaNifanye biashara Gani kwa hili godwn langu ambalo mlango mkuu wakuingil a jorani amejenga ukuta ambao siwezi kuingiza gari kubwa na hata bajaji,nipeni mawazo nilifanyie biashara Gani ambayo haitaruhusu gari kubwa na ndogo zamizigo kuingia
Au nifungue kiwanda Gani kidogo
Yaan njia nikiwanja Cha mtu alikataa kuniuzia akamuuzia mtu mwingineNjia haizibwi unless wewe ndio uliyefanya makosa kujenga njiani na kaziba njia
Kuku wa kienyeji inaweza faa hiiTenganisha Vizuri Fuga Kuku Wakienyeji,Bata Na Nguruwe
Mwenzako alipozibiwa njia alitengeneza daraja likapita juu ya nyumba ya mzibaji, halikugusa kiwanja cha jirani.Nifanye biashara Gani kwa hili godwn langu ambalo mlango mkuu wakuingil a jorani amejenga ukuta ambao siwezi kuingiza gari kubwa na hata bajaji,nipeni mawazo nilifanyie biashara Gani ambayo haitaruhusu gari kubwa na ndogo zamizigo kuingia
Au nifungue kiwanda Gani kidogo