Kula 40m mzeePicha zaidi
.
0717 650800
Huwa unasoma kitu mpaka mwisho kabla ya ku-comment?Eneo lina ukubwa gani
MKuu Mimi Nitakuwa Shahidi Upande Wako MnunuziKula 40m mzee
Nilikua nakiangalia hiki kipengele kipo maana unaweza ukawa kwenye mchakato mara paap ukakutana na chata "ogopa matapeli eneo hili haliuzwi' ukija kuangalia kumbe ni mambo ya watoto wanagombea mali za MshuadingiSio mali ya urithi
Kubwa au ndogo chief?Aisee. ... mnada mpya kwa hio bei ?
Hahahaaaa....mwenye mali ni kijana kabisa mkuu, na documents zote zinasoma jina lakeNilikua nakiangalia hiki kipengele kipo maana unaweza ukawa kwenye mchakato mara paap ukakutana na chata "ogopa matapeli eneo hili haliuzwi' ukija kuangalia kumbe ni mambo ya watoto wanagombea mali za Mshuadingi