Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Mko kidato cha nne, headmaster anawaambia St Nicholas imetioa full scholarship kwa mwanafunzi
atakae pata alama za juu kuliko wote.
Unafahamu kuwa Allan ni kipanga kuliko wewe. Allan akiwemo kwenye picha tegemeo lako la kwenda St Nicholas ni 0. Wote wanafahamu maana ya kusoma form V na VI St Nicholas.
Mkiwa kwenye mazoezi ya mpira, unafanikiws kumtegea Allan miguu wako ameanguka na ameamua vibaya mno. Allan amepelekwa hospitali na tegemeo la kupona ni dogo.
Miezi imepita, sasa ni unaambiwa Allan yuko fit kwa mtihani. Kumbe kuna walimu walikuwa wanampa masomo akiwa wodini walifahamu potentials zake.
Pole sana kwa pressure, kumbuka binadamu tunapanga lakini Mungu ana mipango yake.