Godwin Gondwe wa ITV asilazimishe fani


Jamani tuweni wa kweli kati ya watangazaji wazuri wa kizazi hiki kama sikosei Gondwe na moja kati wa watangazaji wawili bora kabisa tuliona kwenye nchi .Naamini kabisa alieleta hii mada ya kipuuzi kapisa atakuwa ametumwa na radio amabayo watangazaji wake hawana uweledi kataka tasinia ya habari na haswa hizi radio zenye watangazaji amabao walifeli kidato cha nne ,
 
sio chuki binafsi ni kweli anaongea kwa wawengewenge sana hatulii
Naona wengi wenu mnaendeshwa na hisia na kuhusu suala la sauti Godwin Gondwe amekuwa na sauti hiyo hiyo tokea alipokuwa anafanya kazi RFA then TIMES FM and now ITV/RADIO ONE sasa sijui kipi cha ajabu na watangazaji wazuri katika kizazi hiki Godwin Gondwe ni mmoja wapo apart from that pia ni lecturer pale Tumaini University upande wa tasnia ya habari..
 
Chuki Binafsi....Mleta hoja atakuwa anafanya kazi na GG na anakitamani hicho kipindi/nafasi...Kama kweli una nia ya dhati nina uhakika haya uliyoyasema yanarekebishika...ulifanya juhudi gani binafsi na kumuelekeza huyo GG ili najirekebishe kabla ya kutuletea umbea hapa JF?mwanaume mzima hovyoooo.umbea tu na wivu.
 
Yani huyo gamba anamuigiza maulid kitenge...

Ila honestly wanapaswa kuchange na ku specialize sio kubangaiza tu wajifunze kwa wenzao.... Mfano Richard quest means business na Dr farid Zakaria ni coverage ya kitaalamu na unaenjoy.....sasa Kama Mtu Ana masters then you cannot tell the difference on what he deliver....you don see creativity and changes unategemea nini....

Nadhani tujiulize ni kwanini Mtu mmoja anafanya coverage kwenye Sheria , biashara , uchumi na vinginevyo hili ndilo linalosababisha dharau....

Unajua ukiwa kwenye field uko sawa nadhani no one will concentrate on sauti,kicheko na vinginevyo...ni challenge kwa wote Kama Angekua anakua objective kwenye Topic hakuna ambae ange concentrate on his voice and kicheko chake... Sasa Hawa watangazaji wetu wanajikita kwenye facial , scrub na Mavazi lakini delivery Zero...

Wabadilike ndio Maana wengi wanawadharau na kuona kua they just fake
 
Nadhani Wewe huwezi kuwaza tofauti na ya ngono ! hata paspohusika?jiheshimu.
 
Mimi sipendi staili ya utangazaji na uulizaji maswali ya yule wa dakika 45. Sijui ni jinsi kipindi kilivyotengenezwa kipropagandapropaganda ama ndio kupwaya kwa mtangazaji mwenyewe.
 

Mimi ndo maana huwa nampenda George Maratu wa AIIIIIIIIIIIII TI VIIIIIIIIIIIII,

Kiukweli, GG halazimishi sauti labda kama umeanza kumskiliza mwaka huu, tangu rfa hadi leo yupo makini, halafu, swali zuri ni lile lenye maelezo, usiulize maswali mafupi mafupi, utapata majibu rahisi
 
Sauti ya Efraim Kibonde ni natural !!!! Ha ha haaa!
 
usione mtu ameconcentrate kwenye tv ukafikiri anafuatilia kinachoongelewa, laiti tungekuwa na uwezo wa kusoma mawazo ya watu....
 
Acha majungu kijana mbona ametulia, au umetumwa? Tabia ya kuongelea watu badala ya "issues" ni tabia isiyofaa hata kidogo. Usiruhusu chuki zako binafsi ili kuufurahisha moyo wako!
 
wawili bora tz umkute?
kwanza yule mtangazaji au mc?
 
Nadhani Wewe huwezi kuwaza tofauti na ya ngono ! hata paspohusika?jiheshimu.

kweli kabisa huyu anawaza ngono, what a coincedence, na mimi nawaza ngono ngoja nim-pm faster. mkuu ina maana mtu anayewaza ngono hajiheshimu. mkuu mbona ni tendo la kawaida sana. mkuu au tuseme na wewe uliyemtafsiri kwa angle ya ngono hujiheshimu pia???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…