Godwin Gondwe wa ITV asilazimishe fani

Godwin Gondwe wa ITV asilazimishe fani

Jamani tuwe wa kweli, huyu kijana ana juhudi ya kazi na nasikia ni msomi wa hivi vyuo vyetu vya kata, lakini hana kipaji cha utangazaji jamani.

Anajaribu kuiga ma cow boy wa movie za kimarekani, kicheko chake ni very artficial he is a bad actor, hata kwenye lile tangazo la promotion alilovalishwa suti mpya, lakini bado kicheko kinachafua, halafu naomba Joyce japo husikilizagi la mtu, msimpange kwenye mahojiano hana technique mtu huyu, anaongea zaidi ya mgeni, hana uvumulivu hayuko organized maana anauliza kila kitu wakati mmoja na maswali yake sio maswali ni maelezo ya anachokijua yeye juu ya hilo swala, anaingilia mszungumzaji anauliza maswali mengi wakati mmoja na hajui kufuatilia kama lipi limejibiwa lipi halijajibiwa. Anawezakana ni mwanahabari mzuri lakini sio mtangazaji mzuri especially kwenye TV.

Kwa nini msimuache aka concentrate kwenye u MC wa BSS na taarifa ya habari? hata ninapoongea sasa yuko kwenye kipindi ch akumekucha anazoza yeye hata mzungumzaji hatujui kamuitia nini studio maana angeongea yeye tu

Umemuelezea vizuri sana huyu jamaa yangu....
huwa anigusi hata kidogo, mkesha wa mwaka juzi kuupokea mwaka mpya ulioisha aliniboa sana ye Msami hata wa mwaka huu nikawa sina hamu ya kwenda huko...
 
Jamani tuwe wa kweli, huyu kijana ana juhudi ya kazi na nasikia ni msomi wa hivi vyuo vyetu vya kata, lakini hana kipaji cha utangazaji jamani.

Anajaribu kuiga ma cow boy wa movie za kimarekani, kicheko chake ni very artficial he is a bad actor, hata kwenye lile tangazo la promotion alilovalishwa suti mpya, lakini bado kicheko kinachafua, halafu naomba Joyce japo husikilizagi la mtu, msimpange kwenye mahojiano hana technique mtu huyu, anaongea zaidi ya mgeni, hana uvumulivu hayuko organized maana anauliza kila kitu wakati mmoja na maswali yake sio maswali ni maelezo ya anachokijua yeye juu ya hilo swala, anaingilia mszungumzaji anauliza maswali mengi wakati mmoja na hajui kufuatilia kama lipi limejibiwa lipi halijajibiwa. Anawezakana ni mwanahabari mzuri lakini sio mtangazaji mzuri especially kwenye TV.

Kwa nini msimuache aka concentrate kwenye u MC wa BSS na taarifa ya habari? hata ninapoongea sasa yuko kwenye kipindi ch akumekucha anazoza yeye hata mzungumzaji hatujui kamuitia nini studio maana angeongea yeye tu

We ni mtu wa ajabu, Hayo ni mawazo yako, na hukumu yako, we ni bogas, huwezi kumuamlia kila mtu, you are hopless
 
Umenisemea yoote. Hapa si swala la usomi, kiukweli hana 'talking and listening skills'. Kwa hakika mimi huzima TV au kubadilisha channel kila ninapomsikia. Kinachoniudhi ni yeye kujihisi yuko sahihi na 'bora kabisa' pale anapotangaza. Anayebisha hebu ajaribu kumfuatilia ...
We ni far kabisa, huna uwezo wa kupima hoja na ukaamua, mbona mi naona ni mtangazaji mwenye mvuto? We una matatizo binafsi
 
Sijaona kama tatizo la Gondwe limefikia hali ya kulaumiwa kiasi hicho, na kusema analazimisha fani!
Ungekuwa wa msaada sana kama ungemtumia kama ushauri binafsi, na si kumlaumu.

Gondwe ni kijana msomi mzuri wa Saint Augustin University(Japo umesema kwa dharau kuwa ni mhitimu wa vyuo vya kata)ambaye anaweza kupokea maoni na kubadilika muda wowote...man be fair, give him a chance, na si kumkwamisha!

acha kupotosha umma ww undergraduate kasoma tumaini iringa
 
Nani huyo, tuambie basi!

kuna mwingine alikuwaga clouds fm nasikia siku hizi yuko ujerumani kwa msaada wa mpiganaji abuu liongo,jamaa alikua akisoma taarifa ya habari au akitangaza kipindi cha michezo nilikua nazima redio halafu alikua mshkaji wake gondwe dizaini maana mara nyingi niliwaona wakiwa pamoja...
 
unamsema huyu Godwin ninayemjua mie au chupi yako!!!!!
 
mimi kuna mtangazaji wa radio one anajiita nda malya,analazimisha bass,ipo siku atajinyea maana anajikwinya sana...haya mambo ya kulazimisha sauti ni upuuzi.

Eeh jamani,inatosha,kujinyea tena!
 
Double G kasoma undergraduate Tumaini University Iringa na akamaliza masters mwaka jana St Augustin (SAUT) tawi la Dar. kama mtakumbuka vema, ni mtangazaji ambaye alipokuwa RFA, watangazaji wa radio nyingi za FM walikuwa wakiiga sauti yake kama kid bway, huyu nda malya na wengineo, kama jinsi Kitenge alivyokuwa akiiga sauti ya Abubakar Liongo na kufikia hatua ya kupoteza kabisa sauti ya Kitenge Original, sasa hivi sauti yake ni Liongo academia
 
Hakuna mwenye chuki binafsi hii ni cheap strategy ya watanzania msiopenda kuambiwa ukweli, sisi ndio watazamaji wa TV kwa nini utanakataa tunachokisema, ni bahati tu kwamba bado hatujaingia kwenye pay TV tusingelipia hizi TV ambazo watu wengine mnaziona ndio deal, tunachosema ni kwamba hana kipaji sasa chuki binafsi inatoka wapi wakati sisi hatuko ITV wala kuwania kazi yake, tunamwambia kumsaidia yeye na kituo chake kuangalia upya namna ya kuboresha delivery ya vipindi vyao, ebo!

wewe tu ndo unaona ivo so wewe ndo ujipange kumuelewa! Jamaa ana kipaji cha hali ya juu!
 
Hapa nionavyo mimi gondwe sio tatizo tatizo ni programming za media zetu hawana specialization so jambo hili ndilo tatizo la kushindwa kujua mtu kama gondwe anafiti kipi zaidi.......so gondwe sio tatzizo zinginezo zilizosemwa ni changamoto tu katika kazi yake
 
mimi kuna mtangazaji wa radio one anajiita nda malya,analazimisha bass,ipo siku atajinyea maana anajikwinya sana...haya mambo ya kulazimisha sauti ni upuuzi.

Hahahahah! sina mbavuuuu.....
 
Sijaona kama tatizo la Gondwe limefikia hali ya kulaumiwa kiasi hicho, na kusema analazimisha fani!
Ungekuwa wa msaada sana kama ungemtumia kama ushauri binafsi, na si kumlaumu.

Gondwe ni kijana msomi mzuri wa Saint Augustin University(Japo umesema kwa dharau kuwa ni mhitimu wa vyuo vya kata)ambaye anaweza kupokea maoni na kubadilika muda wowote...man be fair, give him a chance, na si kumkwamisha!

May i keep the record clear Gondwe ni mhitimu wa Bachelor ya journalism kutoka Tumaini University Iringa class of 2006
 
May i keep the record clear Gondwe ni mhitimu wa Bachelor ya journalism kutoka Tumaini University Iringa class of 2006

Double G kasoma undergraduate Tumaini University Iringa na akamaliza masters mwaka jana St Augustin (SAUT) tawi la Dar. kama mtakumbuka vema, ni mtangazaji ambaye alipokuwa RFA, watangazaji wa radio nyingi za FM walikuwa wakiiga sauti yake kama kid bway, huyu nda malya na wengineo, kama jinsi Kitenge alivyokuwa akiiga sauti ya Abubakar Liongo na kufikia hatua ya kupoteza kabisa sauti ya Kitenge Original, sasa hivi sauti yake ni Liongo academia
Red: Is there anything wrong that you want to keep records clear?
 
Hakuna mtu amekataa hizo facts, wengi wameshasema humu ndani, hakuna mtu anayesema hajasoma, haya ni matatizo yetu hatutaki kuambiwa chochote zaidi ya kusifiwa. Humu tupo wasomi wengi ninachosema ni kwamba kuna umuhimu wa kuwa na specialization, ninamuona strong kwenye news, si uwongo hana uwezo wa ku interview, na sisi kama wasikilizaji ndio clients wake si vizuri watu kuingiza swala la chuki binafsi, si tu kwa wana habari, ni kwa fani nyingi sana watanzania tunapoteza na tumeshindwa kupenyeza kwa kung'ang'ania ujima. mambo ya kusema eti muambie mwenyewe sasa nini maana ya social media, pia kama supervisor wake anafaa na anastahili kumpa mshahara entry yangu ni ipi? social media ni entry nzuri ya kujengana. Pia tukumbuke hapa Tanzania hakuna independent evaluation ya media wala indicators za performance ambazo ni objective na zinamhusisha msikilizaji kwenye kitu kama survey, labda ma thinkers humu ndani mchukue hiyo kama business idea, na kuweza kuangalia kwa upana. Pia tukumbuke kwa bahati mbaya kwenye hii tasnia ya habari kuna changamoto hata ya vyuo vinavyofundisha. Nadhani kwa wale wenye vyombo vya habari wanalijua hilo, mwisho kabisa sioni kama ni dharau mtu kuviita vyuo vyetu vya kama maana tafsiri kamili ni pale ambapo level hiyo ya elimu imewekwa kuwa universal kwa almost kila mtu, kitu ambacho ni kweli kwa vyuo vikuu vya Tz tumeamua kwamba kila mtanzania asome mpaka huko ndio maana tunapewa hata mikopo kulazimisha hilo, jambo ambalo labda sio baya na hivyo si sawa kulinganisha na walio soma harvard maana kama ilivyokua kwa statement ya Ehud juu ya Tanzania, vyuo vyetu na matunda yake haviwezi kupambanishwa na hivyo. Muda umefika kwa sisi kuvumiliana na kukubali constructive criticisms ili tuweze kusonga mbele kama individuals, groups na hata taifa. Bado nafikiri kwamba GG ni mtanganzaji mzuri wa factuals, anaweza pia akasoma makala, si mzuri kabisa kwenye interview based journalism, japo anaweza kujifunza akafanya vizuri, regardless of his masters degree. Ni muhimu pia kama watanzania tukafahamu kwamba academic qualification haina uhusiano wowote na performance ya mtu labda kama ni research ama kufundisha. Bado ITV inawatangazaji wengi tu wazuri kwenye interview, mtu kama Salum Mkambara, Reinford Masako, Steven Chuwa ambaye kwa sasa nafikiri ni too senior kufanya interviews, Isack Gamba, Abdallah (yule jamaa mfupi )....., na kuna kaka mwingine anasauti nzito, hawa wametulia katika macho na masikio ya wasikilizaji. Unapowasikiliza unaweza kuwafuata maana wanauwezo wa ku flow na ku build discussion kwa kupitia maswali yao, unaweza kuona wazi kuwa brain zao ziko organized. Napenda kumalizia kwa kusema kwamba thread hii haina kusudio la kumtukana mtu wala kumdharau, tafadhali sana kabla hujajibu isome kwa mtazajo chanya.
 
Jamani tuwe wa kweli, huyu kijana ana juhudi ya kazi na nasikia ni msomi wa hivi vyuo vyetu vya kata, lakini hana kipaji cha utangazaji jamani.

Anajaribu kuiga ma cow boy wa movie za kimarekani, kicheko chake ni very artficial he is a bad actor, hata kwenye lile tangazo la promotion alilovalishwa suti mpya, lakini bado kicheko kinachafua, halafu naomba Joyce japo husikilizagi la mtu, msimpange kwenye mahojiano hana technique mtu huyu, anaongea zaidi ya mgeni, hana uvumulivu hayuko organized maana anauliza kila kitu wakati mmoja na maswali yake sio maswali ni maelezo ya anachokijua yeye juu ya hilo swala, anaingilia mszungumzaji anauliza maswali mengi wakati mmoja na hajui kufuatilia kama lipi limejibiwa lipi halijajibiwa. Anawezakana ni mwanahabari mzuri lakini sio mtangazaji mzuri especially kwenye TV.

Kwa nini msimuache aka concentrate kwenye u MC wa BSS na taarifa ya habari? hata ninapoongea sasa yuko kwenye kipindi ch akumekucha anazoza yeye hata mzungumzaji hatujui kamuitia nini studio maana angeongea yeye tu

You make me sick to core of my stomach! Kuna mijitu miningine imezaliwa na chuki binafsi! You are a congenital hater! Hebu utuambie ni shirika gani la viwango vya utangazaji lina certify quality za watangazaji. Kila mtu ana sauti yake kama huipendi ya GG kasage chupa ulambe!
Tunamfahamu GG tangu akiwa Radio Free Africa! Kazi yake inakubalika! Kama unataka aongee kama Vicky Ntetema chonga wa kwako! Damn!
 
Mwanzo mzuri, with time we shall kuza our very own Julie Gichurus ,Jeff Koinanges and Piers Morgans.
 
Mkubwa ni wazi kabisa una chuki binafsi na G.G na hii topic haikupaswa kuletwa hapa ungemtumia mwenyewe huo ushauri ingependeza zaidi

Kama ni hivyo hatuna haja ya kua na JF, maana kila mtu, taasisi au whatever ana address, unajua maana ya social mediia wewe, acha kukurupuka mkuu.
 
You make me sick to core of my stomach! Kuna mijitu miningine imezaliwa na chuki binafsi! You are a congenital hater! Hebu utuambie ni shirika gani la viwango vya utangazaji lina certify quality za watangazaji. Kila mtu ana sauti yake kama huipendi ya GG kasage chupa ulambe!
Tunamfahamu GG tangu akiwa Radio Free Africa! Kazi yake inakubalika! Kama unataka aongee kama Vicky Ntetema chonga wa kwako! Damn!

Hivi chuki binafsi maana yake nini, au ndio mtindo wenu wa kukariri maneno bila kuelewa maana kama kasuku, kwani kuna chuki zingine ni public?
 
gondwe ni mtangazaji mzuri ila ki ukweli bila majungu ni kwamba hawezi kufanya mahojiano hata mm nimemuona mara nyingi. Hua anauliza swali kabla hata mzungumzaji hajamaliza kujibu la kwanza. Akijirekebisha hapo tu basi. Otherwise hana tatizo.
 
kimsingi huyu jamaa na wenzake wengi tu wa hiyo TV ni weupe..Bora yule mwenzake aliyekuwa kipenzi cha wadada alitambua hilo
akakimbilia UDSM nasikia ni MHADHIRI, sijui anaHADHIRISHA nini?
Hakuna chuki hapo!
Mtoa mada utakuwa na chuki zako binafsi tu...
 
Back
Top Bottom